Mimi naona kama anatumia akili zake kidogo sana kwakua labda yupo Bongo.
Kiufupi, namfahamu jamaa vyema... Yuko poa sana kichwani...bingwa kabisa ....mwamba.......sijui amekuaje siku hizi.
Hii App ilitakiwa iwe mbali sana. Huu sio UWEZO wake ninaoujua Mimi. This nigga
Maxence Melo is a GOAT. Sa sijui kalidhika na nini .....