Uongozi na siasa

Uongozi na siasa

ray mark

Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
19
Reaction score
1
Kutokana na yale mapungufu ambayo tayari yamekwisha jitokeza katika uongozi wa ngazi ya juu ya serikal ibasi hatuna budi kwa wenye pages zote kuandika ni jambo gani lifanyike ilikujakuleta mabadiliko dhabiti ya nyanja znzima ya sekta ya uongozi wa nchi, kiongozi atakaye ingia madarakani ni nini anatakiwa afanye kukwepa na kuepuka uongozi mbovu wa kishikaji
 
Uongozi ni kipaji na si ubingwa wa kupuliza vuvuzela. Wako wengi tu ambao ni talented leaders and performers tuwachague hao. Moja ya vigezo vinavyoweza kutumiwa na jamii kupata viongozi bora ni pamoja na historical background ya kiuongozi, hata kama ni ya kitongozi. Second, ni intensive interview by wananchi kuanzia ngazi ya kitongoji.
 
uchaguzi wa viongozi wazuri utawezekana kama tutakuwa na katiba nzuri yenye kutoa fursa ya chaguzi huru na za haki.

Uongozi
ni kipaji na si ubingwa wa kupuliza vuvuzela. Wako wengi tu ambao ni
talented leaders and performers tuwachague hao. Moja ya vigezo
vinavyoweza kutumiwa na jamii kupata viongozi bora ni pamoja na
historical background ya kiuongozi, hata kama ni ya kitongozi. Second,
ni intensive interview by wananchi kuanzia ngazi ya kitongoji.
 
Back
Top Bottom