fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,270
Funguka usaidiwe. Kimekukuta nini!? Au nani!?Ndoa nyingi zinaingia dosari na hatimaye kuzusha migogoro mikubwa,kwa sababu za uongo wa wanandoa.Sasa mmeamua wenyewe kuoana,kwani mnaongopeana?.Acheni hii tabia mnasababisha taasisi ya ndoa kupigwa dhoruba,na sisi ambao tumejitolea kusaidia watu kuoana,tunapata taabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
hapana sio mimi,hii ni matokeo ya kazi zangu za usuluhishiFunguka usaidiwe. Kimekukuta nini!? Au nani!?
we acha tuMie nimesimamia ndoa kadhaa.....lakini kuna moja....daaah........
Acheni hii tabia mnasababisha taasisi ya ndoa kupigwa dhoruba,na sisi ambao tumejitolea kusaidia watu kuoana,tunapata taabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kusimamia ndoa wakati mwingine ni kubeba mzigo tuMie nimesimamia ndoa kadhaa.....lakini kuna moja....daaah........
Kabisa...Mkuu kusimamia ndoa wakati mwingine ni kubeba mzigo tu
Sio ndoa tu hata mahusiano, kazini uongo sio poaah
1.kusaidia kuwakutanisha wanaume na wanawwke wanaotaka kuoana,ambapo kupitia kwangu kuna zaidi ya ndoa 15 tayariMmejitolea kusaidia watu kivipi?
ni kweli lakini ndio kazi nayoifurahiaMkuu kusimamia ndoa wakati mwingine ni kubeba mzigo tu
ha ha hakika mfano kuna ndoa moja niliwasuluhisha wanandoa kwa ugomvi wa kujambaKabisa...
Yaani mashitaka mengine ya kitoto upuuzi upuuzi tu...mpaka najuta hivi viumbe kivifahamu....
Dahh,