"Uongo katika mapenzi"

Uongo katika mapenzi unategemea usiwepo katika hali hii tuliyonayo?
Wa kupendwa na wa kupenda hawapo!
Utashangaa kuona mwanamke nzuri wa ajabu anajitangaza kwenye mitandao ya kijamii anatafuta Bwana unajiuliza kweli wamekosekana?
Hali kadhalika mwanamume.
Hivyo wangu sasa hivi swala la mapenzi ni vurugu mechi kaa nalo makini!
 
Back
Top Bottom