Kimalingano
JF-Expert Member
- Mar 27, 2023
- 1,348
- 1,748
Inaonyesha malalamiko yako mengi siyo ya kweli dhidi ya Afisa huyo.Fanya utafiti wa kina kabla ya kuandika tuhuma za aina hii.Mimi ni Mwl. Kutoka Manspaa ya Moshi ambaye ni muhanga wa matukio machafu yanaofanywa na Kiongozi wa idara ya Elimu Ndugu NICHOLAUS NGONYANI.
Nimeandika ujumbe huu kwa uchungu na masikitiko makubwa kwa kuona kada yangu ya Elimu inachafuliwa kwa uzembe na tamaa za uongozi.
Yafuatayo ni baadhi ya Maudhi ambayo yamefanyika katika Halmashauri ya MANISPAA YA MOSHI katika Idara ya Elimu.
Mimi ni mtumishi wa Mungu kwani ningekaa kimya wakati naona yanayotokea ni kujitengenezea dhambi mwenyewe.
- Kuomba pesa kwa Walimu Wakuu na Maafisa Elimu Kata kiwango cha kuanzia Tsh 100,000 hadi 200,000/=
- Kutembea Na Baadhi Ya Walimu /Wake Za Watu Mfano shule za Uhuru,Kiboriloni,Mjipya,Kibo na Karanga
- Kutoa nafasi za uongozi – Uratibu /ukuu kwa kupokea rushwa ya ngono na fedha, fuatilieni mkuu wa Kibo S/Msingi.
- Kupeleka miradi kwenye shule za marafiki zake tu ili apate 10% ya fedha za mradi ( kwa kurudiarudia mfano Shirimatunda /Uhuru /Mgereza/Pasua /Njoro)
- Kutishia, kufadhaisha na kuwatesa walimu kwa kuwafungia mishahara kinyume na sheria ya Utumishi wa Umma- Ushaidi upo.
- Kutumia ofisi vibaya kwakujilipa posho bila kufanya kazi – Safari za mara kwa mara – kwenda Handeni ,Dodoma na Dar-es-saalam, safari binafsi kwa gharama za serikali.
- Kuwanyanyasa na kuwakandamiza watumishi walio katika idara ya Elimu kwa kuwatishia kuwaondoa pale ofisini.
- Kutumia Walimu Wakuu ambao ni Wanawake zake kuwaonea na kuwakandamiza walimu waliopo chini.
- Kuwanyima walimu ruhusa wakati ni haki ya kimsingi na kuwahamisha baadhi ya walimu kwa mchongo apate pesa, wanagawana fedha ya uhamisho na wanaohamishwa.unakuta mwalimu mmoja anahama hata mara tano kwa muda mfupi. Mfano Mwl Hando.
- Haelewani na wakuu wengine wa idara kutokana na tabia zake hizo mbaya katika Manispaa ya Moshi.
- Kuficha Maovu wanayofanya wazazi kwa Mabinti zao,wapo watoto wa kike wanalawitiwa na wapo watoto wa kiume wanaonajisiwa lakini kesi zikipelekwa kwa Afisa Elimu anazizima kwa kuchukua rushwa kwa wazazi hao ushahidi upo..
- Kuna wanafunzi wa shule za msingi wakipata mimba wanashawishiwa watoe ili kulinda nafasi yake hataki ijulikane uchafu uliopo Manispaa ya Moshi Idara ya Elimu..walimu tunaumia sana kuona kizazi kinaharibiwa eti tu kisa kuhofiwa cheo chake kuchafuka..Hafai mtu huyu, uchunguzi ufanyike yatabainika maovu haya..
Mungu atende miujiza kunusuru Manispaa ya Moshi Idara ya Elimu Kwa haya Maovu.
Walimu tunaunga mkono juhudi za Mama yetu Samia Suluhu Hassan na ofisi yako kwa ujumla
Hapana jamaa yupo sahihHaya siyo majungu kweli? kesi ya ulawiti inapelekwa kwa Afisa Elimu au polisi? hapa ukweli utakuwa ni mdogo sn
Kama malalamiko hayajafikishwa kituoni yeye apeleke ushahidi kama nani Sasa!?Kwanini asiupeleke polisi? hapo kuna DAS, DC, RAS na RC kweli hawa wote wanaweza kumshindwa Afisa Elimu? RAS ana mamlaka ya kumhamisha mtumishi yoyote ndani ya Mkoa, kweli anaweza akafanya maovu yote haya bila wao kujua? siamini hata kidogo
Hivi unajua maana ya whistleblower? Jamaa ametumia mtandao wa kijamii kufikisha taarifa nyeti ili kuficha usalama wake,usalama wa kazi yake na familia yake.Kwanini asiupeleke polisi? hapo kuna DAS, DC, RAS na RC kweli hawa wote wanaweza kumshindwa Afisa Elimu? RAS ana mamlaka ya kumhamisha mtumishi yoyote ndani ya Mkoa, kweli anaweza akafanya maovu yote haya bila wao kujua? siamini hata kidogo
Pole Mwl.Mimi ni Mwl. Kutoka Manspaa ya Moshi ambaye ni muhanga wa matukio machafu yanaofanywa na Kiongozi wa idara ya Elimu Ndugu NICHOLAUS NGONYANI.
Nimeandika ujumbe huu kwa uchungu na masikitiko makubwa kwa kuona kada yangu ya Elimu inachafuliwa kwa uzembe na tamaa za uongozi.
Yafuatayo ni baadhi ya Maudhi ambayo yamefanyika katika Halmashauri ya MANISPAA YA MOSHI katika Idara ya Elimu.
Mimi ni mtumishi wa Mungu kwani ningekaa kimya wakati naona yanayotokea ni kujitengenezea dhambi mwenyewe.
- Kuomba pesa kwa Walimu Wakuu na Maafisa Elimu Kata kiwango cha kuanzia Tsh 100,000 hadi 200,000/=
- Kutembea Na Baadhi Ya Walimu /Wake Za Watu Mfano shule za Uhuru,Kiboriloni,Mjipya,Kibo na Karanga
- Kutoa nafasi za uongozi – Uratibu /ukuu kwa kupokea rushwa ya ngono na fedha, fuatilieni mkuu wa Kibo S/Msingi.
- Kupeleka miradi kwenye shule za marafiki zake tu ili apate 10% ya fedha za mradi ( kwa kurudiarudia mfano Shirimatunda /Uhuru /Mgereza/Pasua /Njoro)
- Kutishia, kufadhaisha na kuwatesa walimu kwa kuwafungia mishahara kinyume na sheria ya Utumishi wa Umma- Ushaidi upo.
- Kutumia ofisi vibaya kwakujilipa posho bila kufanya kazi – Safari za mara kwa mara – kwenda Handeni ,Dodoma na Dar-es-saalam, safari binafsi kwa gharama za serikali.
- Kuwanyanyasa na kuwakandamiza watumishi walio katika idara ya Elimu kwa kuwatishia kuwaondoa pale ofisini.
- Kutumia Walimu Wakuu ambao ni Wanawake zake kuwaonea na kuwakandamiza walimu waliopo chini.
- Kuwanyima walimu ruhusa wakati ni haki ya kimsingi na kuwahamisha baadhi ya walimu kwa mchongo apate pesa, wanagawana fedha ya uhamisho na wanaohamishwa.unakuta mwalimu mmoja anahama hata mara tano kwa muda mfupi. Mfano Mwl Hando.
- Haelewani na wakuu wengine wa idara kutokana na tabia zake hizo mbaya katika Manispaa ya Moshi.
- Kuficha Maovu wanayofanya wazazi kwa Mabinti zao,wapo watoto wa kike wanalawitiwa na wapo watoto wa kiume wanaonajisiwa lakini kesi zikipelekwa kwa Afisa Elimu anazizima kwa kuchukua rushwa kwa wazazi hao ushahidi upo..
- Kuna wanafunzi wa shule za msingi wakipata mimba wanashawishiwa watoe ili kulinda nafasi yake hataki ijulikane uchafu uliopo Manispaa ya Moshi Idara ya Elimu..walimu tunaumia sana kuona kizazi kinaharibiwa eti tu kisa kuhofiwa cheo chake kuchafuka..Hafai mtu huyu, uchunguzi ufanyike yatabainika maovu haya..
Mungu atende miujiza kunusuru Manispaa ya Moshi Idara ya Elimu Kwa haya Maovu.
Walimu tunaunga mkono juhudi za Mama yetu Samia Suluhu Hassan na ofisi yako kwa ujumla
Mimi ninakuelewa sana.Watu wa songea wanapenda ny…nyo sana. Aondolewe tu
Anatia huruma huyu atakuwa LebanonUnavyo ongea utadhani huijui tanzania na huwajui viongozi wa halmashauri eti "umemfata kumuonya" wewe upo tanzania hii hii au unaishi Qatar.
Siwapendi walimu sababu ya kuisaidia sisiemu kuiba kura lakini kwa maandishi haya, it seems kulalamika kwao kuna wasaidiaSijawahi kuona kundi linalojua kulalamika kama kundi la watumishi wanaitwa walimu, aggggggrrrry wanalalama wao tu kila uchwao, wanahisi wanaonewa wao tu kila siku, wanahisi wao tu hawana kipato huku ikifika wakati wa kwenda kazi maalum na mitihani hawasemi aggggryyyy
Hivi mnajua kila offer inayotolewa katika utumishi huwa inaanza na nyie kwanza? Mnapanda madaraja mserereko, huku kwingine ni ndoto, mnaongezewa madaraja ya ziada kwenye mishahara yenu (wako waliofika principle ila wakaongezewa tena jingine) lakini bado mnalalamika tu kila siku kelele tu dah
Kwahiyo lawama za boss wao kichakata mbususu nazo ni lawama za kusaidika mirandaoni?Siwapendi walimu sababu ya kuisaidia sisiemu kuiba kura lakini kwa maandishi haya, it seems kulalamika kwao kuna wasaidia
Kwani ukiandika barua lazima utaje jina lako? kwani huwezi anzisha email fake hata ya gmail ukatuma kama hapa wewe unavyotumia ID fake?Hivi unajua maana ya whistleblower? Jamaa ametumia mtandao wa kijamii kufikisha taarifa nyeti ili kuficha usalama wake,usalama wa kazi yake na familia yake. Huwezi kujua nani ni adui au rafiki yako ktk ulimwengu wa sasa. Unaweza kwenda kufikisha taarifa polisi ukidhani ni sehemu salama kumbe nyuma ya pazia hao polisi ndio washirika na marafiki wakubwa wa huyo NGONYANI. Taarifa ikamfikia Ngonyani kabla hata kesi haijafunguliwa ukaja kujikuta katka hali tete.
Mwisho wa siku ili Ngonyani afikishwe mahakamani lazima kuwe na ushahidi wa kutosha, kuna TAKUKURU ndiyo kazi zao hizoKama malalamiko hayajafikishwa kituoni yeye apeleke ushahidi kama nani Sasa!?
Mkuu,labda wewe kilichokuuma ni hiyo taarifa kuwafikia watu wengi ndani ya muda mfupi kuliko ambavyo ingetumika barua?Kwani ukiandika barua lazima utaje jina lako? kwani huwezi anzisha email fake hata ya gmail ukatuma kama hapa wewe unavyotumia ID fake?
Nimecheka sana aisee...Duuuh mlongo vangu amekutwaa na jambooo. Ila kwenye uzinzi nakubaliii, sisi wangoni tunapenda sana mizagamuooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh yaani hilo dubwana ndio unadhani niwema sana? Labda kama wapo tofauti na hao ninaowajuaTakukuru njooni huko
Rais Mama Samia alikiri kupitia humu sembuse DED?? HOW??Humu RAS,DC/DED wapo? shame on you