Kisima Platinum Member Joined Oct 8, 2010 Posts 4,812 Reaction score 6,633 May 27, 2014 #41 Nimejifunza kitu hapo! Badala ya kuendekeza misosi tuu na kupoteza muda mwingi wa kufanya kazi kwa ofsi, wenzetu wanadscourage matanuzi ili kupiga kazi kwanza coz end process ya kula ni mavi tu! Wachina wana akili sana!
Nimejifunza kitu hapo! Badala ya kuendekeza misosi tuu na kupoteza muda mwingi wa kufanya kazi kwa ofsi, wenzetu wanadscourage matanuzi ili kupiga kazi kwanza coz end process ya kula ni mavi tu! Wachina wana akili sana!
KAJICHO KIVULI JF-Expert Member Joined Jul 30, 2013 Posts 2,061 Reaction score 547 May 27, 2014 Thread starter #42 Kwelikweli!! hata hilo nalo neno! Red Scorpion said: Mgahawa huu ni mzuri kwa wenye matatizo ya kupata choo, akitoka hapo anaenda kuendesha direct! Click to expand...
Kwelikweli!! hata hilo nalo neno! Red Scorpion said: Mgahawa huu ni mzuri kwa wenye matatizo ya kupata choo, akitoka hapo anaenda kuendesha direct! Click to expand...