Uoga wako

ACADEMIA TODAY

Senior Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
179
Reaction score
86
Uoga wako ndo umasikini wako -ROSE MHANDO
walioshindwa wana maneno mengi sana, usiwasikilize.


nasikiliza nyimbo hii ya Rose muhando, nmeipenda

nami naongezea mistari yangu hapa chini

uoga wako ndo maana hupati mwanamke/mwanamme wa ndoto zako - Academia Today
walioshindwa wana maneno mengi sana, usiwasikilize.

wana MMU NAWADEDICATE wimbo huu jmosi ya leo.
ujumbe utumike katika nyanja zote za kimaisha
nikimaanisha katika mapenzi, uchumi, shule, kazi, nk.

WEEKEND NJEMA WOTE
 
Mkuu hapo kwenye nyekundu, ungefafanu kidogo maana nimejawa na utata
 
acha uoga
funguka na umwambie ukweli
lakini pia uache uoga wa majukumu

weekend njema mkuu
Sawa mkuu nimekupata ila kuna kitu hapo nilikuwa nimekilenga zaidi hasa kuhusu uhusiano wa woga na kumpata wa ndoto yako, kwa maana ishu ya kuwapata wanapatikana tu baada ya kufunguka na ukishafunguka tayari sio muoga,ila tatizo ni kumpata huyo wa ndoto yako
 
njia rahisi ni kuendelea kuota, after all dreamland belongs to u only.
 
njia rahisi ni kuendelea kuota, after all dreamland belongs to u only.
H ha ha ha ha daahh umenimaliza kabisa yaani, tatizo lilipo ni kuupata huo usingizi mpaka kufikia hatua ya kuota hizo ndoto, labda ningekuwa kule buzebazeba kigoma ingewezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…