Uoga wa kushindwa , Uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar es salaam waahirishwa tena

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,766
239,436
Hii ni kwa mujibu wa Taarifa ya habari ya ITV usiku huu ,

Tamaa ya madaraka ya watu wale wale walioshindwa kwa miaka yote kwa lengo la kuficha uozo limewakosesha wakazi wa jiji haki yao ya kikatiba .
 
inaonekana uchaguzi wa mameya Dar unasimamiwa na jecha, aiwezekani kuahirisha ovyo kama ni matokeo machungu kwa ccm wakubali kushindwa maisha yaendelee. Kuchelewesha uchaguzi ni kuwanyima wanadar haki Yao ya msingi kabisa.
 
Taarifa za kutia moyo kutoka kambi ya UKAWA ni kwamba liwake jua au inyeshe mvua ushindi ni lazima .
 
Wewe unaona bora ungefanyika?
Kulikuwa na kasoro ndio maana umesogezwa mbele
 
Hii ni kwa mujibu wa Taarifa ya habari ya ITV usiku huu ,

Tamaa ya madaraka ya watu wale wale walioshindwa kwa miaka yote kwa lengo la kuficha uozo limewakosesha wakazi wa jiji haki yao ya kikatiba .

Bado wanasoma vifungu vya sheria na wanaangalia uwezekano wa kuufuta uchanguzi wa Meya kabla ya kufanyika!
 
Hesabu haziongopi.

Wao CCM wanachofanya ni delaying tactics ili wanusuru nusuru madudu yao mengi na ufisadi wa kutisha waliyolifanyia Jiji hili kwa miaka mingi.

Hata hivyo kwa idadi hiyo ya madiwani ambayo ni Ukawa 52 vs CCM 38, ije mvua lije jua lakini lazima kama ilivyotokea zile figisu figisu za kwenye Halmashauri za Ilala na Kinondoni, but at the end of the day kama ilivyotokea kwa Ilala na Kinondoni Umeya na Unaibu Meya kwenda Ukawa, hakika hata Umeya wa Jiji zima la Dar nao utaenda Ukawa, hata kama wataahirisha mara 10!!
 
Hii ni kwa mujibu wa Taarifa ya habari ya ITV usiku huu ,

Tamaa ya madaraka ya watu wale wale walioshindwa kwa miaka yote kwa lengo la kuficha uozo limewakosesha wakazi wa jiji haki yao ya kikatiba .
Chama cha majipu yaliyolelewa , kutunzwa na kurishwa rishe ya rushwa, chuki, na ubinafsi

Bahati mbaya majipu huwa yanatokea baada ya selihai nyingi kufa.
 
ukikaza hawa ccm ni wepesi pamba ina afadhali !
 
Hesabu haziongopi.

Wao CCM wanachofanya ni delaying tactics ili wanusuru nusuru madudu yao mengi na ufisadi wa kutisha waliyolifanyia Jiji hili kwa miaka mingi.

Hata hivyo kwa idadi hiyo ya madiwani ambayo ni Ukawa 52 vs CCM 38, ije mvua lije jua lakini lazima kama ilivyotokea zile figisu figisu za kwenye Halmashauri za Ilala na Kinondoni, but at the end of the day kama ilivyotokea kwa Ilala na Kinondoni Umeya na Unaibu Meya kwenda Ukawa, hakika hata Umeya wa Jiji zima la Dar nao utaenda Ukawa, hata kama wataahirisha mara 10!!
Tatizo kubwa ni zabuni za jiji ikiwemo UDA , kuna uvundo hapo ni balaa .
 
Hesabu haziongopi.

Wao CCM wanachofanya ni delaying tactics ili wanusuru nusuru madudu yao mengi na ufisadi wa kutisha waliyolifanyia Jiji hili kwa miaka mingi.

Hata hivyo kwa idadi hiyo ya madiwani ambayo ni Ukawa 52 vs CCM 38, ije mvua lije jua lakini lazima kama ilivyotokea zile figisu figisu za kwenye Halmashauri za Ilala na Kinondoni, but at the end of the day kama ilivyotokea kwa Ilala na Kinondoni Umeya na Unaibu Meya kwenda Ukawa, hakika hata Umeya wa Jiji zima la Dar nao utaenda Ukawa, hata kama wataahirisha mara 10!!

Usijipe uhakika 100% kwa CCM walivyo wanaweza hata kumfufua Nyerere na Kawawa awapigie kura za uchaguzi huu!
 
Hivi kuongeza wilaya kwa kuigawa Kinondoni na Temeke ni kujaribu kuvurugavuruga uwiano wa wajumbe watakaopiga kura ya kumchagua Mstahiki Mayor wa Jiji tu
 
mbona hizo kasoro hatuzioni kondoa na dodoma mlikoshinda ?
Hahahaa
Mlikoshinda...
Unajua vyama vya siasa vipo vingapi na wanachama wapo wangapi?
Zaidi ya nusu ya wapiga kura si wanachama wa chama chochote cha siasa, hii namba inawasumbua wengi.

Kifupi ni kwamba chadema wamelalamika majina ya mawaziri kuongezwa ilala, we unaona malalamiko yao yangepuuzwa?
Mimi sidhani
 
hivi mawaziri wa ccm wote kwao ni dar es salaam ? nakuhakikishia wasomi wanaenda kuumbuka kwa kiwango cha kutisha .
 
Sio wote ni watatu ndio wameongezwa.
Unaniangusha kamanda, unaanzishaje uzi wakati huna taarifa za kutosha?

Kuarishwa uchaguzi sio hujuma ni neema
 
Back
Top Bottom