Unyanyapaa wa Chadema

mama ni mama ndo kauli inayotuponza,coz mama analeta lugha za kitchen area za mjengo,ni hatareeeeeeee
 

Na ukome kuwa unaleta mada za kipuuzi!! Kama umechukia saaana waombe mods waitoe post yako!! Nimefurahishwa jinsi watu walivodharau post yako!!
 
Baba v kwani ni nani aliye kuwa wa kwanza kuomba muongozo kabla ya spika kula matapishi yake!

Unajua lukuvi amemuaokoa makinda kwenye laana!
 
u.



Unyanyapaa huu wa kuvikomalia vyombo vya dola na kuvibeza ni jambo linalotia hofu sana.[/QUOTE]


are you serious?......natamani nikupige ngumi za mfululizo...mpaka magamba yakuvuke uzaliwe upya..ushindwe kwa jina la yesu
 
Mara Lusinde akadakia mahindi yana rangi gani?Bi kiloboto akasema kijaaaani

Nchemba akasema mchumi daraja la kwanza lazima hawa tuwashughulikie waliotoka nje
 
Bi Kiroboto nae akasema posho zimeongezwa hadi 1,000,000
 
Eebanae wakuu msisahau bado birthday ya Mzee Mandela inaendelea!! Mlioko Sowetto na J'burg tupeni updates!!

Tena umenikumbusha nina kadi ya mwaliko ngoja niwahi
 
Hata mimi nimesikia hivyo, kwa hiyo wanataka tusilizungumzie.
Madam Spika akasimama na kumwambia Mbunge kijana " Hivi nyinyi vijana mmerogwa nini, mbona Kamand Kova kishasema Jasusi ripo mahakamani hivyo mwongozo wa nini?"
 

chadema wamehusika???huyu werema anaanza kukata ringi
 

Siku zote hesabu zangu mimi ni katika Chadema 10 mwenye akili timamu anaweza kupatikana mmoja tu na hii ni kuanzia Viongozi,Wanachama,hadi mashabiki....unaweza mwenyewe kupanga safu ya Viongozi wa Chadema unaowaona mashuhuri(siyo lazima iwe in a positive way) wa'list katika 10,timamu anaweza kuwa mmoja tu....kati ya Wa'CDM 10 waliochangia katika thread hii wewe ndo yule mmoja out of those 10,yaani wengine wanasikitisha kabisa...hoja imewekwa badala ya kuchangia vitu vya maana wao wanaonyesha ulevi,na hivihivi ndo Viongozi wao walivyo ndo maana utasikia mara "funga mlango tupigane" nitamzuia Rais asije Arumeru" na ***** mwingine mwingi tu,kwakweli inaogopesha sana kama hawa ndo tunaotaka kuwakabidhi dola mwaka 2015
 
Debe tupu halikosi kutipa. Empty vessels make most sound!
 

Napata hisia ipo siku nitafungiwa kwa ajili ya huu uzushi mnaoufanya humu JF....
 

Mwiba mchungu bana!
 

Kweli kabisa, ila katika ccm elfu kumi hakuna hata mmoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…