Unyanyapaa wa Chadema

chadema ndo walimshawishi baba wa taifa na karume kuform muungano alafu wamezificha HATI ofisini kwao..ACP msangi kaombwa kulifuatilia swala hili kwa umakini,
 

Nakubaliana na wewe ,ila hapo penye dikteta sio sahihi,kiongozi mzuri ni yule anaeweza kufanya maamuzi panapohitajika na zaidi awe mfuatiliaji ,mbali ya kuambiwa na kuletewa habari awe anayakabili malalamiko na kuyafanyia kazi na ahakikishe alichokiagiza kinatekelezwa ndani ya kipindi kifupi sana.

sasa huu Uchadema wa kutokubali kusikiliza na kukandia vyombo vya dola bila ya kutoa miongozo nini kifanyike ni ubinafsi ,hawa wakichukua serikali basi ule usifa wa kisiwa cha amani utatokomea ,polisi usalama wa Taifa hautakuwa tena na manufaa kwa watz bali utatumika zaidi kuulinda Uchadema kuliko tunavyoona leo jinsi CCM inavyofaidika na vyombo hivi.

Hapa tulipo CM wanajaribu kutaka kuviteka vyombo vyote vya dola.
 
Tunawapa CDM uongozi 2015, wala hilo halibishaniwi. Lakini watakapoongoza wakashindwa kuwashitaki watu kama IGP Mwema kwa mauaji ya Arusha, Makinda kwa kushindwa kuongoza bunge ili tuone kama anastahili hadhi ya Spika mstaafu, hawa wote waliotuangamiza kwa mikaataba ya ovyo, itabidi tuwapige viongozi wa CDM kwa maawe hadi wafe.
 

baada ya hapo Nchimbi akaomba muongozo kuahirisha bunge,Werema alicheka sana na kuanza kupiga meza ishara ya kukubaliana nae
 

hivi unkumbuka kuwa leo ni besdei ya Jack Zoka ??umealikwa TISS ??
 

great makina xana mwandishi ya2pasa wote kufikiri kwa makini co kushabikia c a sa,2nadumazwa fikra na wa2 wachache.2nakataa u2mwa wa fikra wa wa2 wa nje ndani 2nakubali 2ondoe dhana ya kwamba cc na wafinyu ktk fikra!
 

Hapo kwenye red, pananikumbusha jana spika Anne Makinda alivyosema kuwa bunge liendelee wakati alijua kabisa kuwa kuna msiba mkubwa umetokea Zanzibar.
Hapo ndio wabunge wote toka Zanzibar na wa upinzani wakaamua kutoka ukumbini.
Kweli nchi hii haina viongozi wanaojali wananchi. Yaani wananchi wanakufa, Anne Makinda hajali kabisa.
 

...ukimaliza kuandika uwe unajari kusoma kile ulichokiandika,nina amaini utagundua kitu!...
 
mama Kinda nasema bunge litaendelea mpende msipende hata kama wapemba wamekufa kwanza wapemba si watu nani kasema wapemba wako kwenye hesabu za watz,Lukuvi mheshimiwa muongozo, kwanza meli haijazama hizi ni taarifa za uongo na uzushi wa CHADEMA wanataka umaarufu naomba bunge liendelee,Werema akasimama mheshimiwa Kinda kuna taarifa za ndani kuwa CHADEMA wamehusika na kuzamisha meli kule zanzibari ila hili jambo liko mahakamani lisijadiliwe

Kinda -bunge linaendeleaaaaaaaaaaaa
 
Eebanae wakuu msisahau bado birthday ya Mzee Mandela inaendelea!! Mlioko Sowetto na J'burg tupeni updates!!
 

una uhakika gani kuwa na hao kwenye red walitoka.wakati kwenye hotuba zao wanasema hawaitaki zanzibar
 
"Bunge haliwezi kuahirishwa kwasababu meli haijazama, imepinduka tu na bado inaelea juu...." >>makinda.
 
Hizi single za kupakana matope tumeishazizoea! Chadem mwendo mdundo, tuchape kazi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…