Duble Chris
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 3,481
- 564
halafu hawa hawa cdm wazificha ofisi za meli iliyo zama na waliingilia hazina ili kupandisha bei ya mafuta ya taa kuwa juu zaidi kuliko hata ya gariWacheni ulimbukeni yaani mnajificha kwa kutafuta yasiyohusika,najua nimewagusa vibaya sana ,na zaidi nyie wafuata upepo na wapiga debe mna tabu sana hapa JF,yaani kama mimi ndio mode hawa wenye majibu yasioeleweka,ningewavunja vidole na kuwatia upofu ,wasiione JF kama mwezi hivi.
Suali lipo wazi ,ni kujibu tu hii Nchi mnaipeleka wapi ikiwa leo hamjui mtendalo,magwanda mazito ,mnatuonyesha ubabe au sio ,CCM yao ya kijani nyie yenu makaki mnataka kuifanyia makeniki na ukarabati hii nchi.
hayo magwanda huvaliwa na madikteta na sera za unyanyapaa pale bungeni na kuvikandia vyombo vya dola ni ishara mbaya za utawala wenu,hivi mtaunda jeshi jipya na usalama mpya ,mmewaahidi wangapi pale usalama wa Taifa kuwapa ulaji ,mnaipeleka nchi hii kubaya zaidi ya hapa tulipo.
Baada ya Werema si ndo LIWALO NA LIWE naye akasema hata wakifa kwani wapiga kura wangu wa Mpanda haiwahusu!
Baada ya Werema si ndo LIWALO NA LIWE naye akasema hata wakifa kwani wapiga kura wangu wa Mpanda haiwahusu!
Nasikia Werema nae hakutaka apitwe,kama kawaida akadakia
Kuna mwingine alikurupuka na mwongozo eti waliotoka nje wasipewe posho
Mavumba nae haeleweki, ndipo Komba akasema "Tena sisi tuna ngumi nyingi kuliko zenu"
mara KOVA akakimbilia media eti jasusi la kihabeshi lililozamisha meli jana wamelikamata kwa mzee wa upako ubungo likiungama kwa machungu..tayari limefikishwa mahakamani ....
Naona jinsi wanachama na wapenzi wa CCM mnavyochangia ,halafu ndio mpewe nchi ,ni bora CDM ikazuia hapohapo ,bado hamjafikia kuachiwa nchi mkaongoza ,mmechooka kwelikweli ,hamna kitu vichwa vitupu na mawazo mgando ,angalau mmepata cha kuandika.
Haya subirini 2015 ,mushuhudie CDM inavyoibuka kidedea.na ndio mwisho wa CCM.
Jambo moja ambalo linasababisha CHADEMA wapate wafuasi ni kuzungumza mambo kwa ushahidi.Kuna wakati wametetereka lakini most of the time wanatoa hoja ambazo zina mashiko.Chadema inaonekana kuwa makini sana pale bungeni na hata kwenye mahojiano na vyombo vya habari na wamekuwa hawasikii ,wakiambiwa wakielekezwa wanakuwa na misimamo isiyoambilika.Wanajiona wao ni wao hizi ni kasumba za Mwalimu Nyerere kiasi kufika kuitwa baba haambiliki ,jina ambalo alilichukia sana.
Safu hii ya Chadema iwapo watafanikiwa kuongoza dola hii,(Inshaallah wafanikiwe) tumeichoka CCM,kuna uwezekano kuiendesha au kuiongoza Tanzania kama itakuwepo kwa kutumia utawala wa kidikteta ni kushinda CCM ,bila ya shaka kutaiweka nchi katika woga na uhuru wa mwananchi utakuwa finyu.
Sioni busara yeyote ile wanayoitumia pale bungeni ,sioni hekima yeyote ile wanayoitumia katika lugha dhidi ya vyombo vya dola ,hivi wanataka kutuambia watakapo ingia katika duru ya kuiongoza Tz watavunja vyombo hivi wanavyovidharau na kuona haviwatendei haki.
Unyanyapaa huu wa kuvikomalia vyombo vya dola na kuvibeza ni jambo linalotia hofu sana.
Chadema inaonekana kuwa makini sana pale bungeni na hata kwenye mahojiano na vyombo vya habari na wamekuwa hawasikii ,wakiambiwa wakielekezwa wanakuwa na misimamo isiyoambilika.Wanajiona wao ni wao hizi ni kasumba za Mwalimu Nyerere kiasi kufika kuitwa baba haambiliki ,jina ambalo alilichukia sana.
Safu hii ya Chadema iwapo watafanikiwa kuongoza dola hii,(Inshaallah wafanikiwe) tumeichoka CCM,kuna uwezekano kuiendesha au kuiongoza Tanzania kama itakuwepo kwa kutumia utawala wa kidikteta ni kushinda CCM ,bila ya shaka kutaiweka nchi katika woga na uhuru wa mwananchi utakuwa finyu.
Sioni busara yeyote ile wanayoitumia pale bungeni ,sioni hekima yeyote ile wanayoitumia katika lugha dhidi ya vyombo vya dola ,hivi wanataka kutuambia watakapo ingia katika duru ya kuiongoza Tz watavunja vyombo hivi wanavyovidharau na kuona haviwatendei haki.
Unyanyapaa huu wa kuvikomalia vyombo vya dola na kuvibeza ni jambo linalotia hofu sana.
halafu hawa hawa cdm wazificha ofisi za meli iliyo zama na waliingilia hazina ili kupandisha bei ya mafuta ya taa kuwa juu zaidi kuliko hata ya gari
CCM kushinda 2015 si jambo la ajabu.Ikiwa inaweza kuelekeza benki itoe bilioni 33 na yaanzishwe makampuni ya kuzichota na zitumike kwenye kampeni watashindwa nini?Naona jinsi wanachama na wapenzi wa CDM mnavyochangia ,halafu ndio mpewe nchi ,ni bora CCM ikazuia hapohapo ,bado hamjafikia kuachiwa nchi mkaongoza ,mmechooka kwelikweli ,hamna kitu vichwa vitupu na mawazo mgando ,angalau mmepata cha kuandika.
Haya subirini 2015 ,mushuhudie CCM inavyoibuka kidedea.na ndio mwisho wa CDM.
halafu walipasua kioo cha ndege hukohuko anganiUnajua hawa CHADEMA ni wa ajabu sana,wamewaambia madaktari wagome,wakamteka Ulimboka,Juzi wakazima injini za Mv. Seagul, jana wamezamisha meli,afu wakamtuma Hamadi Rashid aseme bunge liahirishwe,baadae Wakamlazimisha Makinda kuahirisha bunge afu wakaficha ofisi za hiyo meli,lengo lao wanataka NCHI ISITAWALIKE!