MAMMAMIA JF-Expert Member Feb 26, 2008 3,811 1,604 Apr 10, 2012 #21 Hapa tunamlaumu bata kuhara wakati kuku anakunya mfululizo. Angalau hao askari wa Kenya walitambuliwa na kuchukuliwa hatua. Tanzania wanazawadia. Mwaka 2005 katika mauaji (na mateso) ya Zanzibar Mkapa aliwapandisha vyeo. http://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=pEmXqW3ruYM Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Hapa tunamlaumu bata kuhara wakati kuku anakunya mfululizo. Angalau hao askari wa Kenya walitambuliwa na kuchukuliwa hatua. Tanzania wanazawadia. Mwaka 2005 katika mauaji (na mateso) ya Zanzibar Mkapa aliwapandisha vyeo. http://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=pEmXqW3ruYM