Unyama Wa Mzungu. Hii inatisha

kwanini mna generalize hivi?
Hii dhambi ya samaki mmoja akioza wote wameoza itaisha lini?
Mnavo walalamikia wazungu sababu ya wabaya wachache ni kama vile
mnasema "Waafrika ni malaika,wote tu wasafi"

very bad
 
Hata ma professor wana generalize from a small sample. Stereotyping is not always bad; SI lazima ulambe sumu kujua kama inaua.

kwanini mna generalize hivi?
Hii dhambi ya samaki mmoja akioza wote wameoza itaisha lini?
Mnavo walalamikia wazungu sababu ya wabaya wachache ni kama vile
mnasema "Waafrika ni malaika,wote tu wasafi"

very bad
 
Kila kitu ni nouma aisee......4 years of untold suffering usipime!
Kibaya zaidi home kwao anaheshimika na kupendwa kwa vile ni "successful".
Maskini familia nyingi huwa proud ati wana ndugu anafanya kazi ulaya! Kumbe?!

Ulaya ulaya nikafanye nini huko!! 2tabanana hapa hapa bongo kwenye dhiki hizi na UFISADI WAKE.
 
Inasikitisha sana na hawa watoto hawana mtu wa kuwatetea wanatumika tu kama bidhaa Mungu tusaidie,hawakujizaa ni zao la watu wazima ambao wameamua kuwaacha ..inauma sana
 
Mimi na tanzania, huu upuzi waulete huku waone wanavyolimwa visogo. Poleni wadada mnapenda vya bure!
 
Makubwa!
 
dah dah ila napenda wazungu wabongo ni noma nao aisee waongooooooooooooooooooooooo
 
Mimi na tanzania, huu upuzi waulete huku waone wanavyolimwa visogo. Poleni wadada mnapenda vya bure!

Mbona hata huku wanaufanya tena kwa kushirikiana na ndg zetu? Nimewahi kusimuliwa kisa cha mgodini Geita, haina tofauti Sometimes najiuliza kama wazungu ni watu kweli ama ni wanyama gani hasa au ndio walikuwa Wanefili enzi zile? :hat:
 
This is really bad!!!!! Ila me huwa naamini hawa jamaa hawana nia njema na sisi(Africans),kabisa ila 2 ni unafiki wao na ujinga we2....,
 
hamna mtu mwenye ushahidi wa hayo maneno,hizo zinabaki ni imani sawa na wale wanaoamini albino watawaletea utajiri.

Sijui wewe unabisha nini sasa,au ndo mmojawapo?pumbafuu kweli,tatizo sio ngoma hapa,kalale na mbwa uone mtihani wake,yaani mwenzenu anawapa onyo halafu wewe unatuletea tumbo kubwa.Inaudhi .
 
Mbona hata huku wanaufanya tena kwa kushirikiana na ndg zetu? Nimewahi kusimuliwa kisa cha mgodini Geita, haina tofauti Sometimes najiuliza kama wazungu ni watu kweli ama ni wanyama gani hasa au ndio walikuwa Wanefili enzi zile? :hat:

wazungu walileta biblia, dini ya kweli...amen!
 
Very touching. Tuombe nusura ya Allah, ths can happen to anyone. Thanx kwa elimu mtoa mada, ndo raha ya JF tunaajifunza mengi
 
dah! inatia uchungu,mungu atusaidie huu umaskin uctufanye 2fikie ha2a hyo,pia ni fundisho kwa ladies and gentleman wanaopenda wazungu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…