[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] hapa hawawezi kujibuMimi hata sishangai yeye kununua Views maana tunamjua ni mzee wa misifa.
Ila kinachonishangaza mimi ni kwanini anawanunulia VIEWS Mpaka wasanii wanaomshirikisha Kama wafuatao:
1. AY - ZIGO RMX
2.JAH PRAYZAH
3.AKOTHEE
4.AKOTHEE
5.CHEGE - ACHA WAOANE
6.ERIC OMOND ( How to be Diamond Platnumz inakimbiza views balaa , mpaka sasa zaidi ya 700,000)
Sasa mimi nauliza yeye anapata faida gani kuwanunulia mpaka watu wanaomshirikisha?
Sitaki kujua lundo la watu wanaompokea maana hao anawanunua hakuna ubishi - SHOWS ananunua pia.
Bosi Mimi sina ushabiki ndiyo maana katika majibu yangu sijamlenga msanii yeyote ila mada iliyopo mezani.Mm sina doubt ya kununua view naamini huwo mchezo haupo coz siamin kama mtu kapewa adi tuzo na YouTube na hawakuliona hilo siamini kama wana ujinga kiasi icho.....kinachotusumbua apa ni ushabiki hakuna kitu zingne maana kama hilo jambo lipo lingekuwa lishathibitishwa kitambo tu
Kwa hiyo YouTube channel ipo kenya na tz tu umefatilia nch ngp ukaona huwo wimbo haupo kwny trendTunataka kujua mfumuko wa views umetokea wapi, ili kuondoa utata.
Sample ya kazi? Unadhani mimi msanii?Fanya sample basi ya kazi yako tuone
Thibitisha sasa kwa vitendo cyo maneno utuonyeshe view kabla na baada ya kununuaBosi Mimi sina ushabiki ndiyo maana katika majibu yangu sijamlenga msanii yeyote ila mada iliyopo mezani.
Sawa nimekuelewa! Kinachoendelea marekani ni mihemko tu ya kushindwa kura!Duh ukweli umekua mipasho tena mkuu? Mimi na wewe tunabishana juu ya views huko Marekani wanataka kurudia uhesabuji wa kura katika majimbo 3 kukiwa na speculation kua kuna hacking imefanyika, hiyo ndiyo itaweza kuthibitisha kwa sasa inahisiwa.
Tusitoke nje ya mada sana hiyo ilikua ni mifano ya kukuonesha kua rafiki zako ni waongo.
Jibu lako tu linatosha kutuaminisha kuwa icho kitu ata ww unatudanganyaSample ya kazi? Unadhani mimi msanii?
Ambacho mimi natengenezea arguments hapa ni ikiwa kununua views inawezekana au haiwezekani, hiyo ishu ya Kokoro sina uelewa nayo.Sawa nimekuelewa! Kinachoendelea marekani ni mihemko tu ya kushindwa kura!
Subiri warudie kuhesabu hizo kura utaona nini kitatokea!
Halafu kinachoendelea kule ni tuhuma hakuna mtu amethibitisha kama warusi walihack hiyo sysytem!!
Ingawa sikukatalii moja kwa moja kama hacking haiwezekani......
Haya kunawatu wanasema saizi kokoro haitrend lakini viewers wanaongezeka kama maji, wanashindwa kuangalia video ya tekno iliyotoka siku moja na kokoro inaviewers wangapi!!
Umeandika kama vile ulikua una hamu tu ya kupost kitu, sioni ground iliyosimamia hii post yako mkuu.Jibu lako tu linatosha kutuaminisha kuwa icho kitu ata ww unatudanganya
Mchukue huyo willy paul ambae ndio namba moja mlete tulinganishe trending yake huku bongo mkuuNgoja tufanye kautafiti ujanja ujanja hatutaki ingawa mimi sio hater wa Diamond nakubali masongi yake.
Trending list kenya
Popular Right Now - Kenya - YouTube
Darasa yupo namba 30
FA dume suruali namba 31
kokoro radio tour namba 40
kokoro official video haipo kwenye trending videos list ambazo zipo 200
Nikikujibu nitakua narudia kitu kimoja mara nyingi.Thibitisha sasa kwa vitendo cyo maneno utuonyeshe view kabla na baada ya kununua
Sample size, kwa EA diamond ana fan base kubwa TZ na Kenya.Kwa hiyo YouTube channel ipo kenya na tz tu umefatilia nch ngp ukaona huwo wimbo haupo kwny trend
Trending list Tanzania
Trending - YouTube
1. darasa
2.dume suruali
3.kokoro radio tour
kokoro official video haipo kabisa kwenye list
Hii ni celeb forum! ukitaka kujifunza nenda jukwaa la uchumi hukoSa hiyo maada ina mpango gani au inafundisha nini katika jamii kiujumla
Huna ukijuacho unafaa kupuuzwaNikikujibu nitakua narudia kitu kimoja mara nyingi.
Hahahahaha sawaHuna ukijuacho unafaa kupuuzwa
umejiuliza au umeona kituo chochote cha tv kinacheza huo wimbo wa kokoro lakini bado uko juu tu? kwa tanzaniaSample size, kwa EA diamond ana fan base kubwa TZ na Kenya.
Ww na mchambuzi mnafaa kupuuzwa
Watu wanaambiwa wanakataa haya Leo nataka msome wenyewe muamini kweli janja janja zinafanyika wcb