Unrest in Baltimore

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,988
Reaction score
142,390
Hivi hawa viongozi wa Baltimore walikuwa wapi kujiandaa na hizi vurugu?





Jimbo la Maryland katika Mji wa Baltmore ambako Rais wetu Kikwete alikwenda kutibiwa tezi dume umechafuka na haukaliki kabisa kwa siku mbili mfululizo baada ya kijana Freddie Gray kufariki dunia katika kifo cha utata kilichotokea mikononi mwa Police, Freddie Gray ni Mmarekani mweusi, kifo chake kinaaminika kuwa aliteswa kikatili na Police wa kizungu hadi akafa, hadi sasa Police 15 katika mji huo wapo hoi kwa vichapo kutoka wananchi wenye hasira, matukio ya mauaji ya ubaguzi wa rangi yamekuwa kitu cha kawaida sana nchini Marekani, Police weupe wakiwaua kwa makusudi na bila hatia yoyote weusi na kisha kutochukuliwa hatua yoyote ile.

==========================

 
Nyani Ngabu

Umeiona hii habari ?

Baltimore police are warning that there is a "credible threat" to "take-out" law enforcement officers, according a press release from the Baltimore Police Department.


"The Baltimore Police Department / Criminal Intelligence Unit has received credible information that members of various gangs including the Black Guerilla Family, Blood, and Crips have entered into a partnership to 'take-out' law enforcement officers," the warning reads.


"This is a credible threat. Law enforcement agencies should take appropriate precautions to ensure the safety of their officers. Notification will be sent via NLETS. Further information will be sent through appropriate channels.
 
Last edited by a moderator:

Halafu hebu sikiliza kauli ya huyu meya wa Baltimore.

Eti anasema "we also gave those who wished to destroy space to do that as well".

Ana akili timamu kweli huyu meya? SMH.

 
Last edited by a moderator:
Nyani kama uko home angalia CNN wanaonyesha live.
 
Nyani kama uko home angalia CNN wanaonyesha live.

Yup...naangalia hapa na sielewi kabisa kwa nini hakuna watu wa law enforcement.

Hao wahuni nimeona wamevunja duka la CVS, Rite Aid, liquor store, check cashing store....

I mean, polisi wako wapi? Hayo maduka yanahusika nini na kilichomtokea Freddie Gray?

Wanaharibu biashara zinazohudumia community yao wenyewe. Kesho watu wataenda wapi sasa kuchukua prescriptions zao kama CVS na Rite Aid zimevunjwa?

Huyu meya na watu wake wazembe kabisa.

Halafu muda si mrefu giza litaingia na hali itaendelea kuwa mbaya.

Haya, Gavana naye katoa tamko kuwa eti wame activate national guard.....wako wapi hao national guard?

Yaani hovyo kabisa.
 
Halafu hebu sikiliza kauli ya huyu meya wa Baltimore.

Eti anasema "we also gave those who wished to destroy space to do that as well".

Ana akili timamu kweli huyu meya? SMH.

Dah huyu Mayor hii katoa kali kwa kweli.

Angalia reaction ya huyo jamaa hapo nyuma baada ya kusikia kauli hiyo.

One of the dumbest things I've ever heard a Mayor say.
 
Nadhani polisi wametia mgomo hivi wa aina fulani ili kutaka kuonyesha umuhimu wao. Baltimore Orioles na White Sox walikuwa wacheze leo baadaye kidogo si mbali na hapo kwenye varangati, wameamua kuahirisha mchezo.

 
Nadhani polisi wametia mgomo hivi wa aina fulani ili kutaka kuonyesha umuhimu wao. Baltimore Orioles na White Sox walikuwa wacheze leo baadaye kidogo si mbali na hapo kwenye varangati, wameamua kuahirisha mchezo.

Nadhani hapo kwenye mgomo baridi unaweza ukawa uko sahihi maana hata mimi nahisi ni hivyo aisee.

Kwa sababu hai make sense kabisa aisee.

Na bila polisi kwa kweli communities nyingi zitakuwa kama wild west.
 
Na kama watafanya news conference leo au kesho hilo swali la kuchelewa lazima wataulizwa. Namsikia Wolf Blitzer anasisitiza sana kutoonekana kwa polisi kwa masaa matatu sasa tangu wahuni waanze kufanya uhuni wao.

Nadhani hapo kwenye mgomo baridi unaweza ukawa uko sahihi maana hata mimi nahisi ni hivyo aisee.

Kwa sababu hai make sense kabisa aisee.

Na bila polisi kwa kweli communities nyingi zitakuwa kama wild west.
 
Na kama watafanya news conference leo au kesho hilo swali la kuchelewa lazima wataulizwa. Namsikia Wolf Blitzer anasisitiza sana kutoonekana kwa polisi kwa masaa matatu sasa tangu wahuni waanze kufanya uhuni wao.

Nilijua lazima tu kutakuwepo wahuni ambao wakipata upenyo wataleta vurugu.

Wamechoma magari ya polisi (hili naweza nikalielewa kidogo kwa sababu baadhi ya watu wana hasira na polisi).

Lakini hii ya kuingia CVS na kuanza kupora na kuichoma moto au kuvunja duka la vinywaji na kuingia na kuanza kupora....really? CVS na liquor store vinahusiana nini na kilichomtokea Freddie Gray?

SMH!!
 
Kinachonishangaza giza linaingia na baadhi ya wahuni bado wanashangaa shangaa maeneo hayo. Giza likiingia Polisi watafanyiza sana tusishangae baada ya masaa manne au matano kuanzia sasa kusikia watu 100 au hata zaidi wamekamatwa na wengine wamepewa mkong'oto wa nguvu. Na si ajabu kunaweza kukawa na vifo vingine.

 
B-More is crazy, as matter of fact it has one of the toughest hoods in America
 
Weusi wanachukua advantage kwenye mauaji ya weusi wenzao. Wanajifanya kuprotest ila ukweli wanakuwa na agenda zao za kufanya uhalifu unakumbuka walivyovamia apple store na liquor store kule Ferguson.
 

Na giza likishaingia uwezekano wa uharibu zaidi kutokea nao ni mkubwa sana.

Halafu huyo meya naye yuko wapi wakati mji wake unaungua?

Hahahaaaaa talk about dereliction of duty.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…