baada ku run dc-unlocker, na kuwa unlocked kwa vile nilipo hakuna huduma ya 3g na create dial connection, inaconnect vizuritu! au google this ZTE_MF622HSDPA/EDGE USB MODEM and dowload it and istall ili uweze kupata huduma ya 3g kama inapatikana eneo lako. zipo kibao n free ina detect any sim card. mi natumia zte k3565z kwa line ya zantel,zain.