Una uhakika au unaropoka?Hiyo si ilikuwa promotion na sasa ishaisha.Pili,zinauzwa 170 sababu zinatumia Tigo tu,hii ni unlocked.Nafikiri huelewi nilichokiandika!
hiyo ni bei ya dukani, tsh.195,000/= yan mpyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sealed,with all accesories yaani unlocked inagonga line zote, na
y200=tsh.120,000/=
Halafu??
195k kwa y300 iliyokua unlocked ni bei nzuri sana.....kwa hiyo 195 yako ukienda dukan utapata y300 za tigo za line moja.....NEXT TIME KAMA HUJUI KITU ASK KWANZA KABLA HUJAROPOKA MKUBWA

Duh yamekua hayo tena???acha misifa usijifanye unajua sana simu,
unataka nikuhakikishie vipi sasa kama hiyo ndiyo bei yake?usijifanye unajua sana utaumbuka,hizi simu mi mwenyewe ndio naziuza na hiyo ndio bei yake kwasasa mpaka kuisha kwa mzigo,kama una pesa tufanye biashara ni unlocked na box yake yani mpyaaaaaaaa Tsh.195,000/=
inaonekana unajua kila kitu wewe?punguza ujuaji,mimi ninazo dukani kwangu na ndio bei ninayouza
195k kwa y300 iliyokua unlocked ni bei nzuri sana.....kwa hiyo 195 yako ukienda dukan utapata y300 za tigo za line moja.....NEXT TIME KAMA HUJUI KITU ASK KWANZA KABLA HUJAROPOKA MKUBWA
195k kwa y300 iliyokua unlocked ni bei nzuri sana.....kwa hiyo 195 yako ukienda dukan utapata y300 za tigo za line moja.....NEXT TIME KAMA HUJUI KITU ASK KWANZA KABLA HUJAROPOKA MKUBWA
195 ni parefu sana kwa y300,mi yangu pia ni unlocked lkn nilinunua 130 mkononi na ilikuwa full accessories
wewe ndio unatokwa povu sasa kwa kufikiri kuwa kila kitu unakijua na hapo ulipo ukajua kuwa dunia umeishika mkononi boya wewe,bei ya dar,mwanza,arusha n.k haziwezi kulingana!inategemea na bidhaa inapatikana vipi sokoni,
punguza ushamba..
Hujawahi kuona sukari mbeya tsh.2000/= kwa 1kg na kwa kipimo hikohiko dar ikauzwa tsh.1600/=? funga domo lako wewe