Unlock code for huawei y300

dottoz

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2012
Posts
1,510
Reaction score
881
wakuu natafuta mtu wa kuni unlockia simu yangu ya huawei y300 kwa bei pouwaa,,
 
wakuu natafuta mtu wa kuni unlockia simu yangu ya huawei y300 kwa bei pouwaa,,

Samahi hiyo simu yako umeinunua shilingi ngapi? na unavyosems unaiunlock kwani inashida gani naomba unijuze kidogo hapo
 
Hii cm inatumia mtandao mmoja tu ya tigo tu,,nilinunua 195,000/=,,
Nataka mtu anayejua ku unlock itumie mitandao yoteeeeeeee
 
Hii cm inatumia mtandao mmoja tu ya tigo tu,,nilinunua 195,000/=,,
Nataka mtu anayejua ku unlock itumie mitandao yoteeeeeeee

Okey mimi nilinunua huawei asend y300 kwa shilingi laki mbili na nusu mitandao yote line moja ndo bei yake au nililiwa mkuu naomba unisaidie kwa jibu asante
 
Okey mimi nilinunua huawei asend y300 kwa shilingi laki mbili na nusu mitandao yote line moja ndo bei yake au nililiwa mkuu naomba unisaidie kwa jibu asante
  • Ili kupata jibu tuangalie hii hesabu
  • Tigo wanauza tsh 195'000 [ locked ]
  • Kufanyia unlocking ni tsh 25'000
  • Hivyo jumla itaku cost tsh 25'000 + 195'000 = 220'000
 
  • Ili kupata jibu tuangalie hii hesabu
  • Tigo wanauza tsh 195'000 [ locked ]
  • Kufanyia unlocking ni tsh 25'000
  • Hivyo jumla itaku cost tsh 25'000 195'000 = 220'000

Mwanza ina laki na 60 hiyo y300 na ni unlocked, znz ina 70 tu.
Na nimeiuza juzi 150 baada ya kuona RAM yake ni ndogo kulingana na matumizi yangu.
Ila sio mbaya bei ya bidhaa hutofautiana kulingana na mahali ulipo.
 
Okey mimi nilinunua huawei asend y300 kwa shilingi laki mbili na nusu mitandao yote line moja ndo bei yake au nililiwa mkuu naomba unisaidie kwa jibu asante

Umeliwa mkuu hyo sim 160 tu laini zote. Mpyaaa
 
Tatzo bei ghali sanaa ku unlock cm aisee na mie nna elfu kumi na tano mwenye kunisaidia jaman kwa bei hyo
 
Mwenye uwezo wa ku unlock nokoia model 105
imei : 357267050089014

naombeni mnisaidie unlock code zake waheshimiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…