haha umenifurahisha ulivyosema wanga, ila kweli naamini itakuwa wana enjoy chini chini, i hope nilipate zali hili na mimi one day maana nina vitu vya kushusha, naona uvivu kusubiri saa 6 kila siku.Ata sahivi nadhani wapo watu wanaenjoy maisha sema wanahofia kutoa mzigo maana wanga watasambaza mpk kwenye makampuni alafu matundu yazibwe
haha umenifurahisha ulivyosema wanga, ila kweli naamini itakuwa wana enjoy chini chini, i hope nilipate zali hili na mimi one day maana nina vitu vya kushusha, naona uvivu kusubiri saa 6 kila siku.
Nimekupata mkuusizani kama zipo na kama zipo saivi itakuwa ni siri sana
Kuna watu lazima wakua wamejichimbia nayoAta sahivi nadhani wapo watu wanaenjoy maisha sema wanahofia kutoa mzigo maana wanga watasambaza mpk kwenye makampuni alafu matundu yazibwe
haha i hope watushtue wakisoma hiiKuna watu lazima wakua wamejichimbia nayo
Watakua wanesikia...haha i hope watushtue wakisoma hii