Unless wadau hawana sifa, hakuna faida kutumbua majipu nje ya sheria

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,198
Si haba kusikia watu wakichukuliwa hatua kwa namna inayowaacha wananchi midomo wazi. Wakishangaa km adhabu hiyo inatosha. Watz wengi wahanga wa elimu na fikra mbovu ktk hii nchi, hushangilia kila hatua hata iliyotajwa kuwa itafanya bila kujali km imefanywa au ktk heshabu net figure ni Profit au Loss.

Duniani kuna mbinu nyingi sana zimetumika kukabiliana na wezi wa hela ktk nchi.

1.Kuna watu km akina Putin, hao waliwawinda watu na kuwamaliza nje ya uwanja, hizi hufanywa sana na nchi ambazo hazina democrasia na utawala wa sheria.

2. Kuna hizi za nchi za africa ambazo pia nazo utawala wa kisheria ni duni. Wao ni kumtoa tuu mtu ktk uongozi ,bila kujali km ina madhara au lah.

3. Kuna hii ya kimagharibi huku jamaa hutumia sheria kumtoa ktk madaraka, kumfikisha mahakamani, kumkamua hela mkosaji na pia kumweka jela miaka kadhaa.

Mimi napendelea njia ya 3, kwani hiyo ndio njia ya mabepari, ndio njia yenye kamalizia hesabu kwa faida. Wajamaa hawana sana haja ya faida km visasi, au kuonyesha sifa ya nguvu na juhudi bila kujali km juhudi zina faida.

Napenda majipu nayo yatumbuliwe kwa njia ya tatu. Sioni sababu ya mimi nisithubutu kusema napenda njia ya 3 njia ya sheria kudeal na wakosefu ,wezi na mafisadi ktk hii nchi. Kama kweli hii nchi wadau wote wa huu mhimili wana weledi basi, hii ndio njia sahihi. Kama hawana weledi nathubutu kusema huu utawala haujawa tayari kwa utumbuaji huu waliouanza na hilo ni kosa kubwa zaidi. Huwezi anza project ukiwa huna RESOURCES.

Kwanza serikali inatakiwa ikusanye ushahidi wa kutosha na kujiaminisha kwamba watashinda kesi bila kulazimisha mahama kuwapa ushindi. Pili serikali inatakiwa iwe na kiasi kamili kilichoibwa, pia serikali iwe na hesabu kamili ya gharama za kuendesha kesi na uchunguzi, kisha iingie mahakamani kwa ujasiri. Mwisho ni wazi kwamba ushindi mahakamani utapelekea mahakama kuipa serikali ushindi, mahakama itaamuru huyu jamaa afilisiwe, alipe gharama za kesi na mwisho ni ushindi mzuri ,huyu jamaa atafungwa tuu. Kwanini huyu mwizi atafungwa? Mwizi atafungwa kwa vile ,wezi wengi huwa hawana uafanisi wa hela, kwa hiyo mara nyingi hawana kiasi chote walichoiba. hela nyingi watakuwa wamekula bata na mabibi, wametoa rushwa, na matumizi mengine. Hiyo deficit lazima iwapeleke lupango. na wakitoka ni masikini wa kutupa , hilo litakuwa fundisho kwa wengi.

Tofauti na huu utumbuaji, ambao kwa wezi makini , ni njia ya kutokea na kwenda kutumbua mabilioni yao. Utumbuaji wa kiholela wajanja watageuza serikali km Mabenk, watu wanachukua mkopo mkubwa kuliko thamani ya mali waliyoweka rehani, halafu hawalipi mkopo, bank ikija chukua nyumba ni km wameuziwa bei kichaa. Hii mtu unamlipa chini ya 2mil kaiba 10bil, unamfukuza tuu. Kuna bahati kuliko hii.Ila ingekuwa unaporwa hela zote, na kudaiwa kiasi cha kutosha kumaliza ndoto za uzeeni.Nani hatokuwa na adabu?
Nawasilisha...
 
Jua kumpeleka Mtu mahakamani inaitaji ushaidi wa kutosha so ndo Wapo kwenye hilo basi kuwa mvumilivu na utayaona hayo ya njia ya 3
 
Sasa kwanini serikali inaogopa? Kwani hawana nyenzo na watu wenye weledi wa kuweka ushahidi wa kutosha mshawishi raisi kwamba wataashinda fairlya nd squirely mahakamani? Sasa km hii inakuwa ngumnu itakuweje ktk kuchambua vita kabla ya kwenda kupigana.?

Kwanini serikali ipigane vita km vile wanafanya kitu haramu na si halali?Kidogo inanipa maswali kwani njia hiyo ni ngumu na yenye hasara nyingi zaidi.

NI ajabu sana serikali kuogopa mahakama wakati wauza mirungi wanaingia mahakamani. Sasa hii ni shida kwa tafsiri mnayoleta kuhusu mahakama. Si mahakama hizi hizi serikali ina ujasiri wa kupeleka wapinzani na si mafisadi au wezi wengi wengi wa mali za umma? Sasa kesi za upinzani nini kinaipa serikali uhakika wa kushinda na si za majambazi?
 
It`s time watu waanze iomba serikali kufanya vitu kisheria zaidi. Na hili lifanyike bila kuharamishwa na watu wanaodhani kuwa na nia njema ya kudeal na wahalifu ,kuna futa uhalali wa kutumia sheria,au kuwa uwezo wa kufanya lolote kwa kisingizio cha nia njema.
 
Back
Top Bottom