B Baba Matatizo JF-Expert Member Joined May 5, 2011 Posts 334 Reaction score 64 Jun 2, 2011 #1 Natafuta universal box.mwenye nayo aniambie anauza shiling ngapi.Nimeweka hapa hii mada sababu wataalam wengi wenye kujua haya mambo wanapita hapa.
Natafuta universal box.mwenye nayo aniambie anauza shiling ngapi.Nimeweka hapa hii mada sababu wataalam wengi wenye kujua haya mambo wanapita hapa.
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,824 Reaction score 1,291 Jun 2, 2011 #2 Sikushauri kununua kitu kwa mtu kaka coz lazima ujiulize yeye anauza kwa nini? nenda tu shop tungua mpya na cable zote...life lisonge.
Sikushauri kununua kitu kwa mtu kaka coz lazima ujiulize yeye anauza kwa nini? nenda tu shop tungua mpya na cable zote...life lisonge.
T tizo1 JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 861 Reaction score 159 Jun 2, 2011 #3 Bushbaby said: Sikushauri kununua kitu kwa mtu kaka coz lazima ujiulize yeye anauza kwa nini? nenda tu shop tungua mpya na cable zote...life lisonge. Click to expand... mimi pia nahitaj hiyo kitu mpya itakuwa shiling ngapi?kama kuna mtu anajua bei ya used na mpya anijuze ili niweze kutambua ipi itanifaa.
Bushbaby said: Sikushauri kununua kitu kwa mtu kaka coz lazima ujiulize yeye anauza kwa nini? nenda tu shop tungua mpya na cable zote...life lisonge. Click to expand... mimi pia nahitaj hiyo kitu mpya itakuwa shiling ngapi?kama kuna mtu anajua bei ya used na mpya anijuze ili niweze kutambua ipi itanifaa.
drphone JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 3,542 Reaction score 294 Jun 2, 2011 #4 zipo 2 unalohitaji ni lipi mkuu ebu fafanunu
T tizo1 JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 861 Reaction score 159 Jun 2, 2011 #5 drphone said: zipo 2 unalohitaji ni lipi mkuu ebu fafanunu Click to expand... kwa mimi nahitaji universal box kwa ajili ya kuflash simu za mkononi.Samahan kwa kutuma kwenye thread isiyo yangu.NIPE BEI DR PHONE
drphone said: zipo 2 unalohitaji ni lipi mkuu ebu fafanunu Click to expand... kwa mimi nahitaji universal box kwa ajili ya kuflash simu za mkononi.Samahan kwa kutuma kwenye thread isiyo yangu.NIPE BEI DR PHONE
B Baba Matatizo JF-Expert Member Joined May 5, 2011 Posts 334 Reaction score 64 Jun 2, 2011 Thread starter #6 Bushbaby said: Sikushauri kununua kitu kwa mtu kaka coz lazima ujiulize yeye anauza kwa nini? nenda tu shop tungua mpya na cable zote...life lisonge. Click to expand... Niambie wanapouza bei nzuri ili niweze kuelewa jinsi ya kununua.
Bushbaby said: Sikushauri kununua kitu kwa mtu kaka coz lazima ujiulize yeye anauza kwa nini? nenda tu shop tungua mpya na cable zote...life lisonge. Click to expand... Niambie wanapouza bei nzuri ili niweze kuelewa jinsi ya kununua.
Ipi dot com JF-Expert Member Joined Mar 28, 2011 Posts 306 Reaction score 166 Jun 2, 2011 #7 Nenda kwa naheem
drphone JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 3,542 Reaction score 294 Jun 2, 2011 #8 wakuu ingieni hapa mtapata kila aina box na cable jamaa ni wazuri na bei zao poa agiza online cku 3 unapata mzigo China Phone with Free Shipping DHL, Wholesale China Mobile TV Phone, China Mobile Dual SIM Phone, China WinMobile Phone, China GSM CDMA Phone ndio natumiaga sana
wakuu ingieni hapa mtapata kila aina box na cable jamaa ni wazuri na bei zao poa agiza online cku 3 unapata mzigo China Phone with Free Shipping DHL, Wholesale China Mobile TV Phone, China Mobile Dual SIM Phone, China WinMobile Phone, China GSM CDMA Phone ndio natumiaga sana
T tizo1 JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 861 Reaction score 159 Jun 2, 2011 #9 Ipi dot com said: Nenda kwa naheem Click to expand... huyo Nahee anapatikana wap?naomba unipe full habari.
Ipi dot com said: Nenda kwa naheem Click to expand... huyo Nahee anapatikana wap?naomba unipe full habari.