Sio kila. Mtu anaweza kujiunga ikakubali ni 10% ambao zitakubali 90% zitakataa mpaka. Lain yako iwezeshwe kuwa ya chuo ndo ikubali kuunga japo laini yoyote ya voda ukioiga hii menu ya chuo *149*42# utaweza kuona list ya vifurushi ila ukijiunga itakaa kwa kuwa hujaingwa kwenye kutumia hiyo huduma utaambiwa huduma ya Cheka unayojaribu kujiinga haiparikani.