How?Mwenye More info regarding this atupe! kuna wageni wawili kutoka NASA Marekani wapo Dodoma wamekuja jana watafanya presentation na ku-form partnership Na University, ila hawakutaka kutoa more info zaidi ya kusema watch the news this week! najua watachuja sana kwenye news :A S 39:
Mwenye nazo atupe...this is kinda good...
inawezekana mbona wana partnershipe na institutes in Ghana?NASA wanafanya partnership na UDOM! - Du! Hivi hizi porojo zinatusaidia nini?
inawezekana mbona wana partnershipe na institutes in Ghana?
sio kwamba ni tetesi as kwamba ni uongo wa kupoteza mda apa, i saw these guys with my own eyes walikuwa wawili mmoja African american but from Ghana mwingine ni white they were having issues with mizigo yao airport jana usiku c unajua wapekuzi wa pale walipekua vibaya mabegi yao so the guys were worried isije ikawa wameharibu gadgets zao na pia mmoja kufuli yake ilipotezwa so akahisi mayb na laptop imeibiwa...in short walikubali kwamba they are here for UDOM na waliondoka na suzuki vitara nyeupe new model ubavuni imeandikwa UDOM anaendesha mwana dada wa kibongo she must be 20 to 28 yrs...want more???lol...i saw them jamani....lol...
kwani hao jamaa wa udom wanayo collage of science and tech. or something like that...au kuna uwalimu na arts peke yake...manake hata sheria sina uhakika kama wameshaanza kuoffer...
Najaribu kuangalia interval ya umri wa dereva kama ninaweza ku calculate AE (Ability to Estimate)...all in all, mkuu tuambalishe nini kinajiri hapo kwetu UDOM
Vijana wa Udom leteni taarifa khs suala hili.labda hao jamaa wanataka kuanzisha kituo cha kurushia makombora na maroketi kwenda Somalia.
kwani hao jamaa wa udom wanayo collage of science and tech. or something like that...au kuna uwalimu na arts peke yake...manake hata sheria sina uhakika kama wameshaanza kuoffer...
Mh!:confused2: Punguza chumvi Mkuu. Niko pale but hiyo collage siijui, labda uniambie kuna course ya earth science.USIANDIKE USICHOKIJUA, THEN UMEULIZA DIRECT KAMA KUNA COLLEGE OF SC. N TECH. WHAT ABT OTHERS? UDOM IPO HADI COLLEGE OF EARTH SCIENCES NA INATOA UNDERGRADUATE DEGREE ZISIZOPUNGUA 90 UNDER BEST LECTURERS FROM EUROPE AND RUSSIA!:glasses-nerdy: