University Of Dodoma Vs NASA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

University Of Dodoma Vs NASA

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Arsenal, Jul 19, 2010.

 1. Arsenal

  Arsenal Senior Member

  #1
  Jul 19, 2010
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 191
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mwenye More info regarding this atupe! kuna wageni wawili kutoka NASA Marekani wapo Dodoma wamekuja jana watafanya presentation na ku-form partnership Na University, ila hawakutaka kutoa more info zaidi ya kusema watch the news this week! najua watachuja sana kwenye news :A S 39:
  Mwenye nazo atupe...this is kinda good...
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Jul 19, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  How?
   
 3. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  NASA wanafanya partnership na UDOM! - Du! Hivi hizi porojo zinatusaidia nini?
   
 4. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,057
  Likes Received: 3,980
  Trophy Points: 280
  inawezekana mbona wana partnershipe na institutes in Ghana?
   
 5. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kwani hao jamaa wa udom wanayo collage of science and tech. or something like that...au kuna uwalimu na arts peke yake...manake hata sheria sina uhakika kama wameshaanza kuoffer...
   
 6. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  UDOM na hicho unachokiita "institues in Ghana" they nowhere close - UDOM kuna "Majengo" lakini "ELIMU" bado:
   
 7. Arsenal

  Arsenal Senior Member

  #7
  Jul 19, 2010
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 191
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  sio kwamba ni tetesi as kwamba ni uongo wa kupoteza mda apa, i saw these guys with my own eyes walikuwa wawili mmoja African american but from Ghana mwingine ni white they were having issues with mizigo yao airport jana usiku c unajua wapekuzi wa pale walipekua vibaya mabegi yao so the guys were worried isije ikawa wameharibu gadgets zao na pia mmoja kufuli yake ilipotezwa so akahisi mayb na laptop imeibiwa...in short walikubali kwamba they are here for UDOM na waliondoka na suzuki vitara nyeupe new model ubavuni imeandikwa UDOM anaendesha mwana dada wa kibongo she must be 20 to 28 yrs...want more???lol...i saw them jamani....lol...
   
 8. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mkuu usife moyo we endelea kufuatilia utuletee habari zaidi...:twitch:
   
 9. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  YOU never know,maybe tanzania has plans to put a man on the moon in the near future.
   
 10. B

  Baba Mkubwa JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 770
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Najaribu kuangalia interval ya umri wa dereva kama ninaweza ku calculate AE (Ability to Estimate)...all in all, mkuu tuambalishe nini kinajiri hapo kwetu UDOM
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Udom na Nasa ??? wapi na wapi??
   
 12. m

  mwanadewa Member

  #12
  Jul 20, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15

  Fanya uchunguzi kwanza ndiyo uchangie hoja
   
 13. m

  mwanadewa Member

  #13
  Jul 20, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 39
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15

  Hakuna dereva wa kike UDOM, fanyeni utafiti kwanza
   
 14. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #14
  Jul 21, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Labda 2subiri may be ni good news,for the country
   
 15. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #15
  Jul 21, 2010
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Vijana wa Udom leteni taarifa khs suala hili.labda hao jamaa wanataka kuanzisha kituo cha kurushia makombora na maroketi kwenda Somalia.
   
 16. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,057
  Likes Received: 3,980
  Trophy Points: 280
  jamani nasa si mambo ya makombora tu! pia vitu kama GPS; GIS na all aerial mappings wao ni pioneers so tusianze kufikiria mambo ya rockets kwenda mwezini tu! tuko wrong ingieni MASA websites kuona mambo wanayofanya! may be wanataka kusidia school of infomatice and land survey?
   
 17. Bwanga

  Bwanga Member

  #17
  Sep 23, 2010
  Joined: May 26, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tangu lini NASA wakarusha makombora? hatutaki pumba!!
   
 18. Bwanga

  Bwanga Member

  #18
  Sep 23, 2010
  Joined: May 26, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  USIANDIKE USICHOKIJUA, THEN UMEULIZA DIRECT KAMA KUNA COLLEGE OF SC. N TECH. WHAT ABT OTHERS? UDOM IPO HADI COLLEGE OF EARTH SCIENCES NA INATOA UNDERGRADUATE DEGREE ZISIZOPUNGUA 90 UNDER BEST LECTURERS FROM EUROPE AND RUSSIA!:glasses-nerdy:
   
 19. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #19
  Sep 23, 2010
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,423
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Sioni chochote cha muujiza cha kukushangaza kiasi hicho. Kwani ni Watanzania wangapi wamewahi kufanya kazi pale Nasa au kwa ajili ya Nasa au basi kupitia Maryland University(au nimesahau nini pengine ni Western Marlyland) ambao wamekuwa wakisaidiana na Nasa! Labda uko kwenye wimbi lingine!
   
 20. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #20
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mh!:confused2: Punguza chumvi Mkuu. Niko pale but hiyo collage siijui, labda uniambie kuna course ya earth science.
   
Loading...