Ni ngumu kujibu hilo swali hadi mtu hafahamu imetumika certification ipi!!! Chukulia Marekani kwa mfano, certification ya American music ni tofauti na certification ya Latino.Embu tutafsirie basi mkuu ×1Platnum inamaanisha nn
Kidogo umenipa mwanga shukran mkuu....sifa anapata na pesa pia anaingiza chibu hadhulimiki watu hawajagundua hilo ndio maana shoo uchwara hafanyi,....na kuliko ukamdhulumu atakufanyia show bure...anajua thamani yake anaitumia....ktkt watu ambao hawaibiwi ni chibu labda miito na hizi nyimbo za kuchomewa kwny flash mitaan lkn anaposimamia yy humuibii...Ni ngumu kujibu hilo swali hadi mtu hafahamu imetumika certification ipi!!! Chukulia Marekani kwa mfano, certification ya American music ni tofauti na certification ya Latino.
Lakini kama itakuwa imetumika certification ya South Africa ambako ambako UMG Africa ni Recording Label member, plain Platinum ni mauzo ya 20,000 units (for singles).
So, for 6X Platinum ina maana keshagonga angalau 120,000 units hadi sasa. iTune hii ngoma inauzwa kwa $ 1.29; na kwa maana nyingine, hiyo ngoma peke yake imeingiza angalau $150K; zaidi ya milioni 300 za Kibongo!
Miss Natafuta anasema zaidi ya kutaka sifa za kubaki masikioni mwa mashabiki, lakini kazi za Diamond hakuna anachopata zaidi ya hasara tupu!!!
Soma vizuri mzee uelewe,ni Sales ya single yake ndio inayocount hiyo youtube views wameonyesha huo wimbo unaviews ngapi youtubeKitu bado sijaelewa. Kwani YouTube views siku hizi ndo count ya sales?
Introduced in 1976, platinum certification stands for the sale of one million units, albums or singles with the gold certification redefined to mean sales of 500,000 units, album or single. So times by x6Ni ngumu kujibu hilo swali hadi mtu hafahamu imetumika certification ipi!!! Chukulia Marekani kwa mfano, certification ya American music ni tofauti na certification ya Latino.
Lakini kama itakuwa imetumika certification ya South Africa ambako ambako UMG Africa ni Recording Label member, plain Platinum ni mauzo ya 20,000 units (for singles).
So, for 6X Platinum ina maana keshagonga angalau 120,000 units hadi sasa. iTune hii ngoma inauzwa kwa $ 1.29; na kwa maana nyingine, hiyo ngoma peke yake imeingiza angalau $150K; zaidi ya milioni 300 za Kibongo!
Ukiangalia tulikotoka, ni bonge la mafanikio kwa single kuingiza kiasi kama hicho kupitia itune peke yake!!!
As I said, certification zinatofautiana! Hiyo quote sijui ni kwa certification ya wapi lakini haiwezi kuwa ndiyo aliyopata Diamond! Hizi certification watu tunazichukulia poa sana lakini si jambo dogo kwenye music industry za wenzetu!! Kama Diamond angepata certification uliyoitaja wewe hapo juu ingekuwa ni stori ya dunia mzima, or at least Marekani kwamba "The first African" kupata 6X Platinum Certification ya 500,000 Units sales ambayo ingemaanisha ni 3M sales ambayo kwa US, ni multiplatinum!!!Introduced in 1976, platinum certification stands for the sale of one million units, albums or singles with the gold certification redefined to mean sales of 500,000 units, album or single. So times by x6
HAPANA... hiyo certification haihusiani na Youtube!Kitu bado sijaelewa. Kwani YouTube views siku hizi ndo count ya sales?
Haaahaaaaahaaa, umeua mkuu.sisi tupo busy na fiesta tunazunguka kwenye basi moja kama mbuzi
Hahahahahahaha asante mkuu kwa kuniulia mbavu zangusisi tupo busy na fiesta tunazunguka kwenye basi moja kama mbuzi
Nimejaribu kukusoma kuna kitu nime ki note.Certification aliyopata ni sales ya nyimbo ya marry you in the clobal market hauoni kuwa kuna utata bila kuweka figure ili tuache ku assume kama ulivyofanya wewe.As I said, certification zinatofautiana! Hiyo quote sijui ni kwa certification ya wapi lakini haiwezi kuwa ndiyo aliyopata Diamond! Hizi certification watu tunazichukulia poa sana lakini si jambo dogo kwenye music industry za wenzetu!! Kama Diamond angepata certification uliyoitaja wewe hapo juu ingekuwa ni stori ya dunia mzima, or at least Marekani kwamba "The first African" kupata 6X Platinum Certification ya 500,000 Units sales ambayo ingemaanisha ni 3M sales ambayo kwa US, ni multiplatinum!!!
Hata wenyewe hawafiki kirahisi hiyo level kwa sababu, hiyo 500,000 Units kwa US ni Gold Certification! Cardi B alipata Gold Certification mwezi August na mwishoni mwa Septemba ndo kwanza akachukua Platinum na alipiga kelele kweli kweli kuonesha hizi certification sio jambo dogo!
Certification za US zipo juu sana zikifuatiwa na UK. Na hata huko US, hizi certification wanatofautisha kulingana na aina ya muziki. Kwa mfano, pini za Kilatino kama vile Despacito na Mi Gente, certification zao ni tofauti na akina Riyahana.
But all in all, kwa sales levelambayo Chibu ameifikia, angeweza kupata Platinum Sales Certification (au angalau Gold) kwenye nchi nyingi tu including Canada manake, hata hiyo 120K niliyoitaja sio jambo dogo!!!
Ni kipi kwa mfano nilicho-assume?! Binafsi sioni utata wowote kwa kile nilichoandika.Nimejaribu kukusoma kuna kitu nime ki note.Certification aliyopata ni sales ya nyimbo ya marry you in the clobal market hauoni kuwa kuna utata bila kuweka figure ili tuache ku assume kama ulivyofanya wewe.
Hahaha tim kimbasisi tupo busy na fiesta tunazunguka kwenye basi moja kama mbuzi
hahahahasisi tupo busy na fiesta tunazunguka kwenye basi moja kama mbuzi