Universal Music Group: Diamond atwaa tunzo ya 6x PLATNUM award South Africa

Embu tutafsirie basi mkuu ×1Platnum inamaanisha nn
Ni ngumu kujibu hilo swali hadi mtu hafahamu imetumika certification ipi!!! Chukulia Marekani kwa mfano, certification ya American music ni tofauti na certification ya Latino.

Lakini kama itakuwa imetumika certification ya South Africa ambako ambako UMG Africa ni Recording Label member, plain Platinum ni mauzo ya 20,000 units (for singles).

So, for 6X Platinum ina maana keshagonga angalau 120,000 units hadi sasa. iTune hii ngoma inauzwa kwa $ 1.29; na kwa maana nyingine, hiyo ngoma peke yake imeingiza angalau $150K; zaidi ya milioni 300 za Kibongo!

Ukiangalia tulikotoka, ni bonge la mafanikio kwa single kuingiza kiasi kama hicho kupitia itune peke yake!!!
 
Miss Natafuta anasema zaidi ya kutaka sifa za kubaki masikioni mwa mashabiki, lakini kazi za Diamond hakuna anachopata zaidi ya hasara tupu!!!
Kidogo umenipa mwanga shukran mkuu....sifa anapata na pesa pia anaingiza chibu hadhulimiki watu hawajagundua hilo ndio maana shoo uchwara hafanyi,....na kuliko ukamdhulumu atakufanyia show bure...anajua thamani yake anaitumia....ktkt watu ambao hawaibiwi ni chibu labda miito na hizi nyimbo za kuchomewa kwny flash mitaan lkn anaposimamia yy humuibii...
 
The bongo artist has made history by becoming the first African artist to get six time platinum sales on his single ‘Marry You’ featuring Ne-yo.

With over 17 million views on YouTube, the song that dropped eight months ago has left Diamond smiling all the way to the bank and he took to his social media to share the good news.

‘’Today have become the first African Artist Signed under Universal Music Group to get 6x Platinum Sales on My Single [HASHTAG]#MarryYou[/HASHTAG] ft Neyo..... on behalf of my team & Neyo would like to thank all the fans & Media Around the world#MarryYouDN #MaryYou#AboyFromTandale (Leo nimekuwa msanii wa kwanza wa kiafrika alosainiwa Universal Music Group kufikisha Mauzo ya nyimbo yake Platinum Mara sita Mfululizo kupitia nyimbo ya [HASHTAG]#MarryYou[/HASHTAG] nilomshirikisha Neyo.... kwa niaba ya Team yangu na Neyo tungependa kuwashukuru Mashabiki na Media zote Ulimwenguni...) [HASHTAG]#ABoyFromTandale[/HASHTAG],’’ he posted.

Introduced in 1976, platinum certification stands for the sale of one million units, albums or singles with the gold certification redefined to mean sales of 500,000 units, album or single.
 
Ni ngumu kujibu hilo swali hadi mtu hafahamu imetumika certification ipi!!! Chukulia Marekani kwa mfano, certification ya American music ni tofauti na certification ya Latino.

Lakini kama itakuwa imetumika certification ya South Africa ambako ambako UMG Africa ni Recording Label member, plain Platinum ni mauzo ya 20,000 units (for singles).

So, for 6X Platinum ina maana keshagonga angalau 120,000 units hadi sasa. iTune hii ngoma inauzwa kwa $ 1.29; na kwa maana nyingine, hiyo ngoma peke yake imeingiza angalau $150K; zaidi ya milioni 300 za Kibongo!

Ukiangalia tulikotoka, ni bonge la mafanikio kwa single kuingiza kiasi kama hicho kupitia itune peke yake!!!
Introduced in 1976, platinum certification stands for the sale of one million units, albums or singles with the gold certification redefined to mean sales of 500,000 units, album or single. So times by x6
 
As I said, certification zinatofautiana! Hiyo quote sijui ni kwa certification ya wapi lakini haiwezi kuwa ndiyo aliyopata Diamond! Hizi certification watu tunazichukulia poa sana lakini si jambo dogo kwenye music industry za wenzetu!! Kama Diamond angepata certification uliyoitaja wewe hapo juu ingekuwa ni stori ya dunia mzima, or at least Marekani kwamba "The first African" kupata 6X Platinum Certification ya 500,000 Units sales ambayo ingemaanisha ni 3M sales ambayo kwa US, ni multiplatinum!!!

Hata wenyewe hawafiki kirahisi hiyo level kwa sababu, hiyo 500,000 Units kwa US ni Gold Certification! Cardi B alipata Gold Certification mwezi August na mwishoni mwa Septemba ndo kwanza akachukua Platinum na alipiga kelele kweli kweli kuonesha hizi certification sio jambo dogo!

Certification za US zipo juu sana zikifuatiwa na UK. Na hata huko US, hizi certification wanatofautisha kulingana na aina ya muziki. Kwa mfano, pini za Kilatino kama vile Despacito na Mi Gente, certification zao ni tofauti na akina Riyahana.

But all in all, kwa sales levelambayo Chibu ameifikia, angeweza kupata Platinum Sales Certification (au angalau Gold) kwenye nchi nyingi tu including Canada manake, hata hiyo 120K niliyoitaja sio jambo dogo!!!
 
Nimejaribu kukusoma kuna kitu nime ki note.Certification aliyopata ni sales ya nyimbo ya marry you in the clobal market hauoni kuwa kuna utata bila kuweka figure ili tuache ku assume kama ulivyofanya wewe.
 
Ni kipi kwa mfano nilicho-assume?! Binafsi sioni utata wowote kwa kile nilichoandika.

Ukiingia itune, utakuta bei ya huo wimbo ambayo ni $1.29. Hiyo certification tayari imeshasema ni 6X Platinum. Diamond yupo chini ya Universal Music Group-Africa na HQ ni South Africa. Kama ndivyo, it's obvious Universal watakuwa wanatumia certification ya South Africa ambako plain Platinum ni 20,000 units sales. Watatumia certification ya SA kwa sababu, wao kama record label waliopo SA pia ni member wa associations ya recording labels za huko.
 
Mtu mzima dawa, Kiba anatakiwa na yeye aoe jimama afanikiwe fasta hebu cheki Dogo janja alivostuka.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom