Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,174
udini ni hoja ya jk tusahau tofauti zetu za kiuchumi na kugangamala na udini ambao wanaonufaika nao ni wachache sana................
ningekuwa mod nakupiga ban ya maisha
Hapa Udini wa JK uko Wapi?
Tuwe na Ustaharabu wakati mwingine, waliokaa hapo mnataka kuniambia hakuna wakristo?
Kama JK ana UDini basi sio kwa hili, hapo kaenda msibani jamani
Hapa Udini wa JK uko Wapi?
Tuwe na Ustaharabu wakati mwingine, waliokaa hapo mnataka kuniambia hakuna wakristo?
Kama JK ana UDini basi sio kwa hili, hapo kaenda msibani jamani
Mod where were you?hii sio inshu ya kujadili hapa we need challenge and not critics.
PHP:Hapa Udini wa JK uko Wapi? Tuwe na Ustaharabu wakati mwingine, waliokaa hapo mnataka kuniambia hakuna wakristo? Kama JK ana UDini basi sio kwa hili, hapo kaenda msibani jamani
Ni nani kaongelea udini?
Suala hapa ni mpasuko wa kimapato hata kwa waislamu wenyewe na JK anatumia udini ili kuufunika huo ukweli sasa udini unapotumika kufunika matabaka ya kimapato na nyie mnashangilia .......na kumtetea JK......leaves me shell shocked..............................
Naona wengine mnashindwa kusoma picha nzima...kuna kitu kimoja mie nimeona hapo ambacho kimenivutia sana...ndugu zetu wa Ki-Islam hawatumii hizi occasion za misiba ku-accentuate tofauti zao za kiuchumi, tizama...wote wanavaa kanzu, kofia, wanavua viatu (JK kajisahau, labda! lakini pia - hapo si msikitini!!), wanakaa chini; hii ina-highlight the humanity that is common to all of us, accentuated by the event in question - which is death - that will befall all of us eventually. Labda udini upo, japokuwa sioni utamfaidisha JK namna gani!! Pengine tunachotakiwa kutilia mkazo ni kuzuia kumea na kukua kwa "fundamentalism" ambacho kwangu mimi ndio tishio kwa maendeleo na amani ya nchi. Hii tofauti ya kiuchumi ipo kwa kila dini, na hao mafisadi wako wa kila dini, kabila n.k. Kwa mfano, kwetu Bukoba nadhani majority ni Wa-Kristo, lakini kwa mtizamo wa haraka-haraka, umasikini ni mkubwa pia, tena wa kutisha.
Tutilie mkazo elimu, kujituma, ubunifu, bidii, na mambo kama hayo...tutafika tu. Elimu, si tu kukaa darasani, la hasha, bali elimu ya kiwango cha juu; tuwe na desturi ya kusoma vitabu na majarida - siyo siri - Wa-Tz wengi hatupendi kusoma, baada ya shule tunatafuta kazi, tukipata basi mwisho wa mchezo!! Haifai kuacha ku-elimika, graduation isiwe mwisho wa kujielimisha.
Na hawa wajukuu wa Mzee vipi, maana mazoezi ya shuleni wanayarudia ukutani kwa babu, tena in red and pencil. Hesabu yenyewe mimi siimudu
[B] [/B]
Nimeangalia sana lakini sijamuona sheikh yahaya yule mlinzi wa waislamu na kikwete.................ndio kilio changu