Unilever Tanzania

Unilever Tanzania

tycoonff

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
928
Reaction score
1,310
Kwa yeyote anayeifaham Unilever tafadhari naomba anipe information kuhusu hiyo kampuni na pia wanalipaje kwa fresh graduate with no experience (entry level).
 
Mi najua tu inahusika na uzalishaji wa chai, vp wameshaita watu kwenye interview?
 
Nmeitwa kwenye interview position ya Territory Sales Manager, ndo maana nataka nipate information mbili tatu.
 
Back
Top Bottom