K60? Kishikaji?Waswahili wanasema uungwana vitendo. HUyo ndugu hajawa muungwana kwa hilo. Kumkumbusha ama kutokumkumbusha kutategemea na ukubwa wa deni lenyewe, Kama ni haya madeni yetu ya kishkaji 20k,60k nk Nitakaa kimya akiamua kulipa sawa asipolipa amejifungia milango siku za mbeleni.
ukimkopesha MTU 60k akawa mgumu kukurudishia na uko vizuri Fulani,mkaushie.K60? Kishikaji?
Haisee mm nitamkumbusha, then atanipa ela yang pia haitaishia hapo nitamkopa kiasi cha fedha alaf na mm nalipiza mara mbl ya usumbufuAmekufata mwenyewe umkopeshe halafu unakutana nae anakwambia hivyo, wewe utamjibu nini ?



Kwa jamaa zangu wanaoshinda nami kila siku katika magumu na mepesi ni zaidi ya kishkaji hii, Ila ikitokea imekua hali kama mtoa mada alivyotanabaisha basi atakua amejifungia milango siku nyingine. Nami nikikwama pia nitashindwa kumkopa sababu atahisi nataka nijilipe deni langu kupitia malngo wa pili.K60? Kishikaji?