Katika vyote huwa hachezewi mtu ila kichezewacho ni hisia na roho za watu ambazo hutiwa majaribuni. Mengineyo huwa ni matumizi ya viungu husika vya uzazi sema matumizi hayo yanapotupiwa mikoni mwa watu wasio sahihi ndipo tunasema umechezea mtu yaani hisia zake ulizoziamsha na kushindwa kuzitunza.