UNHCR: Why Rwandan refugee fear

jMali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
8,412
Reaction score
5,013
cc: Sexer Hii habari ni ya 2013 pale kwenye mgogoro kati yetu na nyinyi, hivyo usikimbilie to point the time, its irrelevant. What's relevant ni maneno ya Watutsi on why they can't go back home kwenye laptop na ipads mpaka chooni. By the way, another reminder, hii habari imetoka UNHCR. Maana hamchelewi kudai habari imefadhiliwa na FDLR wakisaidiana na Waspain!

Hii story ni ya 2003. Miaka 12 imepita. Chances are hawa walioongelewa hapa wapo Rwanda kwenye nyumba walizojengewa na Rais wetu Kagame. Wewe umeshaishiwa na hoja kama unategemea 2003 stories.

1. Thanks for pointing that typo out, i.e 2003 instead of 2013. As i clearly said in the thread, time is irrelevant, what's relevant is the content. Sasa hapo sijui tatizo ni uelewa wako wa Kiingereza au chuki yako uliyonayo dhidi yangu. Ndio maana ingawa nimekosea, I will not edit the thread ili watu waone hilo kosa langu, halafu wapime uwezo wako wa kuelewa mambo.

Aliye typo 2013 badala ya 2003 au yule asiyeelewa maana ya neno irrelevant? Great thinkers watapima uzito wa hayo makosa mawili. By the way umejua hilo kosa kwa sababu mimi huwa naweka links za ninakotoa habari, this proves kwamba sikulenga kudanganya as kila mtu anaweza kuona kosa uliloona, quite different from wewe unayeweka habari za newtimes halafu huweki source...

2. Furthermore, ingawa this is an exception kwa sababu umepoint out kitu cha kweli, wewe nilishakupiga personal ban kitambo sana. Huwa nakuangalia tu unavyojitahidi kunivuta kwenye mijadala yako na kusikitika, you must be really mad!
cc: Sexer
 
We interahamwe una shida kwelikweli, eti mgogoro kati yetu na nyie, hivi ni lini wasukuma tumekuwa na mgogoro na wahutu?! Au intarahamwe mnapokuwa na mgogoro na ndugu zenu watusi inakuwa kila anayewapinga mnakuwa na mgogoro naye!
Aisee umemjibu,jamaa anajaribu sana kulazimisha uraia usio wake.Harafu kila anaye mu oppose basi immediately ni MnyaRwanda tena Mtusi.
 
wewe ndio interahamwe ndio maana ukaona hapo tu kwenye ukabila na sio habari yote. Ngumu kuchonga pale wapinzani wanapokuwa watutsi wenzio eeh?
 
Aisee umemjibu,jamaa anajaribu sana kulazimisha uraia usio wake.Harafu kila anaye mu oppose basi immediately ni MnyaRwanda tena Mtusi.

"Harafu" = Halafu
"mtusi" =
Mtutsi
"MnyaRwanda" =
Mnyarwanda
 
wewe ndio interahamwe ndio maana ukaona hapo tu kwenye ukabila na sio habari yote. Ngumu kuchonga pale wapinzani wanapokuwa watutsi wenzio eeh?

Hiyo habari sikuisoma make lugha uliyotumia siijui, umesikia interahamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…