Wana wa janvi, napenda kuhulizia hawa UNHCR walitangaza kazi mbalimabli Km ASSISTANT FIELD OFFICER - ulyankulu,
PROTECTION ASSOCIATE- KIGOMA KASULU, & RESETTLEMENT ASSISTANT - KASULU, je kuna mdau mwenye info yoyote kuhusu km walisha pata watu wao ili tusahau kuhusu izo post mana niliomba na uko km kujaribu zali,
asante, mwenye jibu atupie apo