Ungekuwa Wewe Ungefanyeje??

mwmabie ukweli kuwa wewe unafahamu kuwa anatoa tigo na wewe ungekuwa unafurahia tendo kama angekupa tigo mu-enjoy pamoja
 
Ungeweka space kidogo kwenye maelezo ungetupunguzia kazi ya kusoma,,,,,

Inaonekana kwanza haujui utakalo! Kwa taarifa yako nyepesi ni kwamba WAF***O na WAF**WAO adhabu yao ni moto wa milele.

Kama unataka kuwa na maisha bora yenye heshimam staha na yampendezayo Mungu(familia kama ulivyosema kumchukua jumla), futa mawazo machafu.

Ongea na huyo mtoto kiukweli! Mawazo yako kwake ni ngono tu(so sad).....

Ongea nae akupe ukweli! Kama ameshawahi na bado anafanya huo mchezo nadhani kuna threads zilielezea namna ya kuacha etc.

Ila inaonekana na wewe unapenda!! Mungu akuongoze
 
mzabzab naona unachungulia njoo ndani unaitwa
 
Last edited by a moderator:
una guts za ajabu sana wewe ! yaani huna aibu kutuletea habari za mambo ya kinyume na maumbile? kha! jamani dunia imefika ukingoni! pole sana kwa kupotea njia!
 

Hayatuhusu. This is your private business.
 
and he wants us to justify for him kwamba demu wake ampe mgongo na kufumua marinda ni haki yake sio??

Yaani nikifikiria dunia ilipofika nakata tamaa kabisa. Hii kitu inaongelewa kama ni kitu cha kawaida kwa kweli; shetani is a real genius. I have no choice than to admit!
 
Yaani nikifikiria dunia ilipofika nakata tamaa kabisa. Hii kitu inaongelewa kama ni kitu cha kawaida kwa kweli; shetani is a real genius. I have no choice than to admit!
mimi naumia sana as we have kids na hawa ndio tutakao waachia hii dunia nyuma yetu.
sijui wataikuta ikoje, na sijui watatulaumu vipi kwa aina ya dunia tutakayowaachia.
 
mimi naumia sana as we have kids na hawa ndio tutakao waachia hii dunia nyuma yetu.
sijui wataikuta ikoje, na sijui watatulaumu vipi kwa aina ya dunia tutakayowaachia.

Resolution yetu sio tu ndio njia sahihi bali pia ndio njia PEKEE ya kuwakinga na huu ufirauni my dearest.
 
Jamani huu mchezo wa kutoa jicho umeenea nadhani hata kuliko watu wanavyodhania,tatizo ni kuwa ukijifanya unataka kuchukua jumla ujue kabisa hupewi n'go lakini akijua muhuni flani huna hata mpango unapewa kiulaini ile kuwa mkali ni zuga tu utakuta ana mtu wake anamega,sasa wewe Bepali swala la kupewa hiyo kitu sahau we kama umependa huo mzigo owa tu ila huyo mwenzio picha ashakupa.Ni juzi tu hapa nilikuwa napewa story jamaa ana demu wake kagundua kumbe kuna mshikaji wake mwingine nae anakula alipomuuliza akamwambia ni kweli anakula na jicho anapewa na mafuta wanayotumia yanakaa sehemu fulani ndani ya chumba cha yule binti,alipokwenda akayakuta ,yaani jamani hii dunia imekwisha.
 
mimi naumia sana as we have kids na hawa ndio tutakao waachia hii dunia nyuma yetu.
sijui wataikuta ikoje, na sijui watatulaumu vipi kwa aina ya dunia tutakayowaachia.

Yaaani ndg yangu nimestaajabu jinsi anavyojigamba utafikiri anatoa mahubiri ya biblia kumbe anatoa mahubiri ya kumtukuza shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…