Ungekuwa wewe ungefanyaje?

sokwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
2,022
Reaction score
1,065
Upo katika mihangaiko yako ya kila siku lakini ghafla umemkumbuka mkeo na kuamua kupita dukani na kumfanyia shopping ya nguvu Kama upendo wako kwake,

Umeamua kurudi nyumbani bila kumpa taarifa!

Ulipofika nyumbani umekuta anapigishwa sarakasi za kufa mtu na njemba ana muscles Kama za Arnold Schwarzenegger, vilio unavyo sikia kutoka kwa mkeo vinaonyesha yupo kwenye kilele cha mahaba ya dhati ,

Ila una mkwaju au bastola!

What would you do?!
 
I'd let them finish, then let them know that I know while maintaining an even keel.

No need to flip out because it won't be worth my while.

And next morning I'll be first in line at the clerk of court's office to file my divorce papers.
 
Mkuu hata akiwa kimbaumbau hutakiwi kufanya vurugu. Unatakiwa uhakikishe mwanamke na mwanaume wamekuona, wamejua umewaona kisha unawaacha wamalizie mwanaume aondoke, abaki mke ufanye maamuzi magumu ambayo ni kasuli tu. Kwanza Jamie kuachana nae, au pili Jamie kuendelea nae. Hutakiwi kufanya jingine. Mm binafsi ningeachana nae ASAP
 
Hamna anayeamua afanye nini hapo adrenaline ndo zitaamua. ( fright, flight or fight)
 
Sasa ndoa ya kikatoliki mkuu, hakuna divorce.
 
Nakubaliana na wewe kijani11.
 
sokwe

Kwani mkioana mnakuwa mmepigiliwa misumari?
 
Last edited by a moderator:
Misumari hakuna mkuu nyani Ngabu, nitaratibu za kanisa tu, for better or worse till death do you apart, lolest.
 
Mkuu kama unaushahidi ndoa ya kikatoliki inavunjika tu sema wengi hawapendi kuthubutu. Kumbuka kanisa haliishi na huyo mwanamke/mwanaume hivyo kazi kwako kulifurahisha kanisa au kuutendea haki moyo wako.
 
I'd let them finish, then let them know that I know while maintaining an even keel.

No need to flip out because it won't be worth my while.

And next morning I'll be first in line at the clerk of court's office to file my divorce papers.
Damn right. I wouldnt fight over a man. Assuming the story is vice versa.
 
Misumari hakuna mkuu nyani Ngabu, nitaratibu za kanisa tu, for better or worse till death do you apart, lolest.

Hawajamaanisha hivyo..kwamba hata mkeo akikusaliti umvumilie tu..uzinzi haukubaliki kwa hili unaweza kumwacha mkeo
 
kuna mambo mengine ni ngumu kutabiri nini utakachofanya. kwa ishu hii ni kuomba Mungu akupe ujasiri wa kufanya maamuzi ya busara, la sivyo unaweza jutia maamuzi yako milele.
 
My own brother experienced the same thing aisee! Yeye that day ilikuwa waende kwa weeding na wife wake, mida ya jioni wife akatoa udhuru kuwa hajiskii vizuri. Akamuacha apumzike yeye akaondoka. Kumbe baada tu ya kuondoka wife nae akaondoka ila hakuchukua gari na gateman hakujua kama wawili hao hawakuwa na safari moja. Haijulikani wife alienda wapi ila alirudi mida ya kama saa 6 hivi. Hatuelewi ilikuwaje ila aliamua kuruka ukuta ili aingie ndani. Bahati mbaya alijichubua sana mapajani na miguuni na damu zilimtoka. Gateman alisikia kile kishindo wakati wife anaanguka so akamsaidia kutembea hadi room kwao.

Kumbe wakati huo the woman was drunk bwana so gateman/houseboy alipomfikisha mama akamuomba amsaidie kuchua pale alipoumia. Sasa bwana wakati mama anapatiwa huduma ya kwanza bahati mbaya pombe zikamtuma mama vibaya, wakajisahau wakaanza kula tunda. Father house karudi home kagonga gate bila mafanikio! Kapiga sim ya mama haipatikani! Kampigia housegirl akapokea na kumfungulia mzee. Mzee anafika room anawakuta live wanaz..i huku mkewe ana madonda mabichi. Amini usiamimi mzee adrenaline zake ziliamua kwa busara, alichofanya ni kuchukua nguo zao halafu akafunga mlango wa room kwako akalala kwa sebule hadi asubuhi ndo akaita wasimamizi wao wa ndoa waje washuhudie ila hakuita ndugu zake wala ndugu za mkewe. As usual wasimamizi wakawashauri wakae waongee wayamalize na wasameheana blah blah! Mzee akaishi na wife wake kwa muda kama 3 months bila mawasiliano na mwishowe ndugu za mzee walipogundua walienda kumtimua wife wake physically.
 
Stop negative thinking. Maskini anawaza ngono, kufumania nk. Tafuta pesa acha kuwaza jando tuuuu
 
huwezi kusema mpaka likufike, kwa sababu ya uzinzi ni ruksa kuachana,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…