Ungekuwa wewe ungefanyaje.......?????

D 007

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
206
Reaction score
147
NdO UMEMKUTA AU UMEKuTWA KATIKA HALI HII... What you shuld do ..


.
 
Natubu dhambi zangu kimoyomoyo, tayari kwa kifo....!!!!
 
Jomba hii picha na maelezo yake ishapostiwa sana humu jamvini
ndio hivo wapenda wake za watu, mke pembeni tabasamu kibao
akijua hapa lazima mtu akabidhi nyumba
 
namvamia ,sitakubali kufa kirahisi.
 
Napambana naye bila woga. Potelea mbali! Kufa kiume tu hapo. Evelyn Mbona umepotea! au unaogopa panga nililoliona hapo!
Hizo nguvu za kukabiliana unatoa wapi muda huo....mwili na viungo vyake vyote vinapataga ganzi, we kufumaniwa kitu kingine aseeeh!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…