Tatizo hapo ni huenda kutokuwa karibu na mpenzi wako...! I mean mikoa mbalimbali paka anafikia hatua kama Hiyo hukuwa na dalili..
Sioni haja ya kumbembeleza saana, kwa vile unaweza kumuoa badae akaanza utata.
Chamsingi fata taratibu halali kadai kilicho haki yako.
Vilevile mshukuru Mungu kwa vile amekuonyesha au amekuepushia matatizo huko badae....
N.b ukiandika next time usiandike herufi 'x' badala ya 's'
Ungekuwa ni mtoto wangu ningekunasa vibao ulie zaidi.. pumbafToka nijue mapenzi nlikua sijawahi kulia kwa ajili ya mapenzi yamekuta had I nimelia na kunifanya nimeyachukia mapenzi nilikua katka mahusiano kwa miaka miwili na nusu na girlfriend wangu Sikh moja kaniambia hivi una mpango gani !nikamuliza kwa mini umeniuliza hivo akanambia mda was. Kuolewa uxhafika nataka kuolewa nikamwambia poah .nikapata safari ya kikazi nikamwacha huku mi nikiwa nafanya process za posa nikatoa posa na nikatajiwa na mahali ni kwamba in ng'ombe watano nikatoa watatu wakabaki wengne kwa makubaliano tutamalizia baadae yeye akiwa yupo kwao mi nipo dar ilikuwa asbuhi nimeaamka kanipigia simu kanambia tafta mke wa kuoa ambae ni chaguo lako nilipigwa na butwaa nikajiuliza why..... Sijui nifanyeje!!!
HahahahhhUMelia nin sasa apo acha mambo ya ajabu kadai ngombe wako endelea na maisha