Unga wa sembe/ dona umepanda ni tsh. 2000 kilo

ndiyomkuusana

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
666
426
Ndugu zangu,

Leo nilikuwa nafanya shopping ya vyakula vya nyumbani hapa Mbezi mwisho. nikashangaa kukuta bei ya unga imepanda mpaka tsh. 2000 kwa kilo moja ni hatari, hii nimeambiwa na muuzaji imepanda mpaka tsh.2000 kuanzia jana tarehe 12/02/2017.
 
Jamani hali sio nzuri huku mikoani njaaa
Mfumuko wa bei za nafaka Rai kwa waheshimiwa kelele za Dar. ( tope) sasa zigeukie huku mikoani.
Msimu huu wa kupanda kanda za kusini Mvua hakuna .

Wa bunge
Wanahabari
Wakina Sirro
Na wengine wengi sasa ni wakati wakupigia kelele hili.
Labda wakuu watasikia.
 
Kaa kimya hii nchi haina njaa walishasemaga wenye nayo.. naona Sukari nayo inakuja kmya kmya 25KG ni TZS 56000/=
 
Jamani hali sio nzuri huku mikoani njaaa
Mfumuko wa bei za nafaka Rai kwa waheshimiwa kelele za Dar. ( tope) sasa zigeukie huku mikoani.
Msimu huu wa kupanda kanda za kusini Mvua hakuna .

Wa bunge
Wanahabari
Wakina Sirro
Na wengine wengi sasa ni wakati wakupigia kelele hili.
Labda wakuu watasikia.

That`s we call it food politics.
Umeshawahi kulalamika petrol ikipofika 2000/ltr
Unashangaa kuona mkulima anafuja jasho mwaka mzima halafu anashindwa hata kujenga nyumba
Ila mwenye petrol station anakuwa na fedha nyingi..
Kimtizamo wangu wanaotakiwa wawe na fedha ni wakulima kwani u cant live without food but you can live without petrol..
Kwanza Rais wetu mpendwa alisema wakulima wauze mazao bei wanayotaka..
 
Back
Top Bottom