Kwa kumsaidia, wewe chuma hayo majani ya kutosha mfungashie pamoja na mbegu, apokee hayo majani atengeneze huo unga wake apate kutumia huku akiotesha hiyo miti.Unga unapatikana,ila ukienda maduka ya kisuna huwa wanauza kijiko kimoja ni shilingi 1000,cha kukushauri ni kuwa Fanya namna upate mbegu za mlonge upande(uoteshe) maana ndani ya miezi mitatu tu unaanza kuvuna ,katika familia yangu kuna miti miwili ambayo kwangu ni mhimu,wa kwanza ni huu mlonge kwa ajili ya tiba ya malaria na kuondoa sumu mwilini,
Lakini pia kuna mti Fulani ambao huwa nautumia kwa ajili ya kutibu UTI ,kwa sasa haya magonjwa ni tatizo kwani mtu hawezi maliza mwezi hajaugua eidha malaria au UTI,hivyo nashauri kwa raia yeyote anayependa afya yake kuwa ni miti hii ili kujiepusha na matumizi ya Mara kwa Mara ya dawa za viwandani.
Mwisho mimi Niko mbali toka hapo shinyanga,ila kama utakwama sana naweza kukuagizia mbegu za mlonge uoteshe,nitakuagizia kupitia magari ya mwanza ,lakini pia nikutakie pole kwa shida unayoipata juu ya afya yako na nikutakie pia uponaji wa haraka.
Wasaalaaam ndugu! Nashida na unga wa majani ya mlonge nitapata wapi nipo Shinyanga kwa sasa.
Nmekunywa madawa sana kwa ajili ya tiba mbalimbali najihisi mwili mzito baaada ya kufuatilia nmepata fununu mlonge unasaidia kuondoa sumu mwilini kwa hiyo nauhitaji kwa ajili ya kazi hiyo
Huu mti wa UTI ni upi mkuu japo picha kama jina itakua ngumu maana kama ulivosema UTI imekua tatizo mkuuUnga unapatikana, ila ukienda maduka ya kisuna huwa wanauza kijiko kimoja ni shilingi 1000, cha kukushauri ni kuwa Fanya namna upate mbegu za mlonge upande(uoteshe) maana ndani ya miezi mitatu tu unaanza kuvuna, katika familia yangu kuna miti miwili ambayo kwangu ni mhimu, wa kwanza ni huu mlonge kwa ajili ya tiba ya malaria na kuondoa sumu mwilini,
Lakini pia kuna mti Fulani ambao huwa nautumia kwa ajili ya kutibu UTI, kwa sasa haya magonjwa ni tatizo kwani mtu hawezi maliza mwezi hajaugua eidha malaria au UTI, hivyo nashauri kwa raia yeyote anayependa afya yake kuwa ni miti hii ili kujiepusha na matumizi ya Mara kwa Mara ya dawa za viwandani.
Mwisho mimi niko mbali toka hapo Shinyanga, ila kama utakwama sana naweza kukuagizia mbegu za mlonge uoteshe, nitakuagizia kupitia magari ya Mwanza lakini pia nikutakie pole kwa shida unayoipata juu ya afya yako na nikutakie pia uponaji wa haraka.
Picha ya mlonge tafadhali
Mkuu shukran majani na mbegu za mlonge nimepata ...Je n mti gani unaotibu UTI mana nalo ni jangaUnga unapatikana, ila ukienda maduka ya kisuna huwa wanauza kijiko kimoja ni shilingi 1000, cha kukushauri ni kuwa Fanya namna upate mbegu za mlonge upande(uoteshe) maana ndani ya miezi mitatu tu unaanza kuvuna, katika familia yangu kuna miti miwili ambayo kwangu ni mhimu, wa kwanza ni huu mlonge kwa ajili ya tiba ya malaria na kuondoa sumu mwilini,
Lakini pia kuna mti Fulani ambao huwa nautumia kwa ajili ya kutibu UTI, kwa sasa haya magonjwa ni tatizo kwani mtu hawezi maliza mwezi hajaugua eidha malaria au UTI, hivyo nashauri kwa raia yeyote anayependa afya yake kuwa ni miti hii ili kujiepusha na matumizi ya Mara kwa Mara ya dawa za viwandani.
Mwisho mimi niko mbali toka hapo Shinyanga, ila kama utakwama sana naweza kukuagizia mbegu za mlonge uoteshe, nitakuagizia kupitia magari ya Mwanza lakini pia nikutakie pole kwa shida unayoipata juu ya afya yako na nikutakie pia uponaji wa haraka.
Siujui jina lake ila ni nao hapa kwangu,ni kama maua Fulani hiviMkuu shukran majani na mbegu za mlonge nimepata ...Je n mti gani unaotibu UTI mana nalo ni janga
mkuu tuma picha huenda unafahamika ila hatufahamSiujui jina lake ila ni nao hapa kwangu,ni kama maua Fulani hivi
Yes mkuu nitatuma kesho ,mkuu tuma picha huenda unafahamika ila hatufaham