Unga safi unapatikana Jajojo

Unga safi unapatikana Jajojo

Jajojo

Senior Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
155
Reaction score
95
Nunua sembe safi toka Jajojo jumla na rejareja kwa bei POA.
Thanks, Greater Thinkers.
Jajojo.
 
Wadau,

Na wananchi wote kwa ujumla tunayo furaha kuwatangazia kuwa JAJOJO ni wauzaji wa sembe safi yenye kiwango cha juu. Huwezi pata sembe safi/dona popote zaid ya hapo.

Tunauza jumla na rejareja. Wasiliana nasi 24/7.

Thanks, Greater Thinkers

Jajojo.
 
Mkuu, mawasiliano yetu na habari zote juu ya kampuni yetu- tafadhali tembelea site yetu www.jajojo.com karibu sana you will be gald you did. We mean business we play no games.
Thanks, GreaterThinkers
Jajojo.
 
Waheshimiwa mabibi na mabwana, I want to tell you a short story about Ugali.
I started eating Ugali when I was very,
very young. I don't know about you!

Nimecheka sana kusoma kipande hicho
 
Karibu sana mkuu!!!!!, Don't forget to buy Jajojo sembe.
Thanks GreaterThinkers.
jajojo.
 
Habari njema! Sembe ya inayotengenezwa na Jajojo haiitaji kuchekechwa kama hizo zingine!!!. if for some reason you don't like jajojo sembe simply bring it back we will give you money back. that's right I mean what I just say, money back!

Tunauza jumla na rejareja from 1 kg to 50 kg.
Thanks, GreatThinkers
jajojo.
 
Kiingereza cha nini sasa?umeanza vizuri mbele kidogo ukaweka broken yako, au unataka tujue kuwa umesoma sekondari za kata?
 
napata tabu kuingia huko,ila nahitaji 10kg ni bei gani?
 
pole sana. unapatikana wapi? bei yetu inategemea uko wapi. tukijuwa ulipo tutakupa bei ya 10 kg jumla au rejareja. sembe bora
Asante.
Jajojo.
 
Dona ni unga wenye virutubisho asilimia 100 bora kwa afya yako. Nununa Dona na Sembe safi toka www.jajojo.com tunakuhakikishia ubora wa bidhaa zetu. kama hujaridhika na Dona/Sembe rudisha na utapewa pesa yako.
Asante. Great Thinkers
Jajojo.
 
Duu, dona..., ila hivi dona ni nzuri kweli kulinganisha na sembe?
 
samahani sana kiongozi, siunajua tena shule za kata!!!! najaribu uwafikia wote!!! www.jajojo.com
Kwa hili tangazo lako hiyo jajojo yako utajojoa mwenyewe. Wewe badala ya kuweka namba ya simu na location yenu unaweka website. Why should I bother for the sake of your business?
 
Ndio mkuu ni bora kuliko sembe, hata madakitari wanashauli kutumia unga wa dona kwa afya bora.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom