Wazee mimi natumia jamii forums app(adroid). Natumia kwenye simu ya Samsung galaxy S4. Ila muda mwingi sana huwa napata hiyo error hapo juu. Nikipata hiyo error website ya JF ina hang kwa muda then ina dissappear. "Unfortunately jamii forums has stopped"
je ninawezaje ku solve hii issue. Kuna mtu mwingine inamtokea? Au ni mimi tu
please advice

Hata mimi inanitokea kwenye simu yangu inayotumia android, ni vizuri umeileta jamvini naamini watalaamu watasaidia
Ok... manake nilifikiri nipo mwenyewe kumbe tupo wengi.. inabidu jamaa wa JF wafanye kazi kwa kweli
Mara kadhaa site ya JF huwa inakuwa down...nadhani husababishwa na kuwa chini kwa server ambayo inaihost JF...Hii huwa inatokea kwa watumiaji wote kuanzia wa PC na Mobile...