Unajua mimi sijui ni ushamba wangu ama sijielewi, hivi kuwa vizuri kwenye bed tafsiri yake ni nini hasa:
Je ni mtu kuwa na pumzi kwenda mpaka masaa mawili
Ni mtu anaehakikisha anamridhisha mwenza wake hata kama ni sekunde 20
Je ni mtu anaeweza tendo lenyewe round nyingi bila kuchoka
Ni mtu ambae yupo romantik hata kama anaenda dakika 5
Mimi sijui chochote naomba kueleweshwa