how can you launch a view without offering a suggestion..this post has become invalid from the onset of its post...thank you and come again!!!Let's meet here and discuss issues about our destiny in this country,how to tackle the challenges we are facing in the streets and how to find out the opportunities that surround us. You're welcome
Yan ww ni mama mtu mzima unaacha kutoa ushaur unaandika ujinga hapo..mwafaaaa
Hope you intended to say optimistic and not pessimistic.That's clearly what I wanted people to share. Come with alternatives which are pessimistic
SanaaaaaaaaBila kusahau kubet
kuna mikopo ya vikundi ya wanawake na vijana inatolewa na halmashauriUsmkatishe tama kiasi hichi. Remember two heads are better than one. On my side I always hear people telling you guys to be self employed but how can one be self employed without capital. Twanzie hapo.
Lakini kumbuka katika economics huwezi anzisha biashara kwa liability. Lazima uwe na capital alaf ndo ukope. Inamaana hapo ukikopa bila mtaji lazima utafilisikakuna mikopo ya vikundi ya wanawake na vijana inatolewa na halmashauri
pesa za serikali hizo hazina shida hata zisipolipwa hamfanywi chochoteLakini kumbuka katika economics huwezi anzisha biashara kwa liability. Lazima uwe na capital alaf ndo ukope. Inamaana hapo ukikopa bila mtaji lazima utafilisika
Sasa hapo sikila mtu anaweza zhuluma. Ila kiuhalusia tuseme ukikopa lazima urudishe. Tafteni namna yakuwasaidia vijana.pesa za serikali hizo hazina shida hata zisipolipwa hamfanywi chochote