Understanding your woman

Sijui mume wangu ajaye anayajua hayaa
 
Hiii inawahusu wenye ndoa...ila ukimdekeza sana mwanamke atakuona boya.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
First born😀😀 she doesn't want to share you with anyone. Hawawezi kuja kwa huu uzi wanaopenda wanawake wengi.
Nipo hapa nausoma uzi. Mbona hizi loint zote wanatumia sana wale ma tall dark and handsome na wanakula mbususu nyingi tuu. Ebu Kelsea njoo uwape somo hapa.
 
Pengine vitu vya kufanya ili kuwaridhisha wao ni vingi mno. Binafsi siwezi kuyamudu yote hayo kwa 7b humu JF zimejaa nyuzi nyingi za kariba hii. Leo unakutana na nyuzi hii lkn kesho kuna nyingine tofauti na hii ambayo itazungumzia mambo ya kufanya ili kumpa furaha mke. Na tukumbuke kuwa jana na juzi na hata mwaka uliopita kulikuwa na nyuzi zaid ya 100,000 humu.
Inaonekana kuwaridhisha wao ni lazima ukubali kuwa kwenye kivuli chao sio?
Hata hvyo me ntajitahid ila najua kuwa sitoweza kufanya yote hayo.
 
Fanya kadri tu ya uwezo !Mwanaume ndiye kaumbwa kupenda na mwanamke kaumbwa kutii.mwanaume ampende mke wake na mwanamke amtii mume wake.kwa hiyo ni wajibu wa me kupenda ndio maana wanaonekana sana wao kuhitaji hints kama hzo.

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…