Mliochaguliwa mwuce karibu sana, mazingira yako poa sana na malecture wakutosha tu, ila mjiandae maana msuli wake ni hatari, sup nje nje. Ni branch kongwe ya saut mkoa wa kilimanjaro
Nenda moshi kachukue ingawa sio lazima maana sample ya hiyo barua ipo kwenye website yao,waweza pata taarifa zote na mahitaji ya muhimu wakati wa kuripoti hapo, cha msingi umeona jina lako MWUCE nenda na mahitaji yao siku ya kuripoti, tena hawatakuomba barua watakuuliza jina lako, wata confirm na vyeti vyako then watakuomba ada yao na mchezo utakuwa umekwisha, kila la heri katika masomo yako.