Undergraduate admissions naamini mtanip mjibu

edger jairos

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
335
71
Iv kun kijan wangu katok form akapig diplom y ufund sanifu akapat G. P. A YA 2.9 NA MIJA YA ADMISSION QUALIFICATIONS INBD UWE N ATLEAST 3.0 sasa kutkn n mfumo huu mpya wq kujiunga na degree programs anawez akapt chuo tz? AU AFANYAJE AENDELEE N MASOM HAYO? MSAAD PLSE ..
 
IMG-20170524-WA0015.jpg
 
Ushauri kama upo Dar unaweza kwenda pale TCU ili wakueleze vizuri hizi sifa au unaweza piga simu ila bado ni mapema sana kukata tamaa hivi vigezo vinaweza kubadilika muda wowote ule. Kama anaweza afanye kazi apate uzoefu kazi huko mbele anaweza kujisomesha hata nje ya nchi mwenyewe. Au kama pesa ipo angalie vyuo vya nje kama india, Kenya Malaysia, South Africa, China nk.
 
Back
Top Bottom