Uncle Ben akiwa Pugu Sekondari

Rekebisha hapo. Sio kwamba walitukamata bali wametukamata hadi sasa hivi
Huo ni mtazomo wako mkuu, na ule ni mtazamo wangu.
Hakuna mbaya kila mtu akibaki na mtazamo wake, amani tu kiongozi.
 
Mkuu Bora na ww useme me hapa nimeaangalia zaidi ya mara Mia lkn sijapasoma
HAKUNA SEHEMU KAMA HIYO PUGU SEKONDARI,LABDA KAMA WALIENDA KULE CHINI PONDI [emoji3061] [emoji3061] [emoji3061] [emoji3061]
 
Na kama hataki basi awe anakaa kimya na si kuchagua wa kumjibu.
 
Nahisi ndiye huyo mrefu wa Kati..
 
Ahahaaaaaaaa, umenikumbusha picha yangu niko na gauni enzi hizo, nilipoiona tuu nikaichana on the spot. Sema kameraman alikuwa mzee la sivyo pangechimbika yaan
Hiyo njemba ndefu imevaa viatu vya kike.. ahahaha
Zamani Mimi nshavaa Hadi blauzi.
 
Habari sio hapa ni Pugu au sio Pugu, Habari ni huyu ni Mzee Mkapa
 
Nahis ni pale karibu na uwanja wa volleyball na dinning hole.. au huku upande wa kanisani
Mimi mwenyewe Pugu boy, hakuna sehemu kama hiyo Pugu, siyo kule Kanisani (Roma), wala karibu na Dining hall (uwanja wa Volley ball), hakuna dirisha duara zenye hizo structures.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…