Uncle Ben akiwa Pugu Sekondari

Daah!
Ndio yupi hapo?

Huyo mwembamba mfupi alichana nywele mtindo wa 'way'? Kweli wazungu walitukamata akili sana!! Sisi na nywele zetu fupi, ngumu za kujisokota unaiga mtindo wa kuchana nywele laini ndefu?
 
Hapa waliposimama ni pugu sehemu Gani mbona sijapasoma!
 
Sijui kwanini sipendi mazoea na wewe mkuu!
Naishangaa kweli roho yangu!
Sio suala la mazoea,umeuliza swali nimekujibu!!
Humu hatupo kwa ajili ya kuzoeana,tupo kwa ajili ya kuanzisha mijadala na kuchangia hoja,suala la kuzoeana labda unalo wewe,Mimi sikujui hunijui sasa unaanzaje kuniambia hupendi mazoea na Mimi? Dada,bibi,baba,mama sijui mzee hebu jiangalie aisee!!
 
Daah!
Ndio yupi hapo?

Huyo mwembamba mfupi alichana nywele mtindo wa 'way'? Kweli wazungu walitukamata akili sana!! Sisi na nywele zetu fupi, ngumu za kujisokota unaiga mtindo wa kuchana nywele laini ndefu?
Rekebisha hapo. Sio kwamba walitukamata bali wametukamata hadi sasa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…