Unbelievable Pictures

Dogo shaka hana,
kwa raha zake, anapata vitamin zote.
 
Kama hizo za wachina siwezi kushangaa maana hao jamaa wanamiracle za ajabu wanauwezo wa kutembea juu ya maji bila kuzama
 
umeshawahi ona mbwa ana miguu miwili?

umeshawahi ona watu wanakuwa mipira ya kuchezea( basketball, netiball)?

umeshawahi ona mbuzi anachungulia dirishani?

umeshawahi ona mdada ana mikono zaidi ya kumi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…