The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Ndio nini tena hiyo....Kin Don
Mbuzi sijui wanachungulia nini dirishani lol.. What did you say ... za kweli?.. hah hah ...ile ya jamaa wameshikiana kwenye kijiko na wale wanaoniginia kwanye matawi ya miti!! Ya vimbuzi its ok!!
Preta nisaidie huyo mbuzi anachungulia nini dirishani...hahahandio nilikuwa nataka niulize hiyo imekujaje kujaje....btw....happy to see you here tho....
Hahahaha!!!! Lol......Thanx Broth Finest,
Mie nahisi hao mbuzi wanachungulia dirishani
ili wawaone waje wawafungulie,
waingie ndani nao wafaidi mauhondo ya humo.
Gaijin....lol...i guess it was Sushi thouHizo picha za mwanzo, hiyo restaurant juu ya mti nishakula hapo......and the food was nice too :]
And as far as I know, its not a real tree
Aisee.....hii mara nyingi unakuta ni maeneo ya Asia