Naomba niongezee neno "pumbavuuu!" hapo mwisho!Ukianza michepuko utajua kwamba walioiweka hiyo option ya block hawakuwa wajinga.
mwanamke hata ukimwambia ntakutafuta asikupigie hadi we upige lazma litakupigia tu! Halafu anaanza swaga za kukumisi sijui nn!Mambo ya kublock sana huwa yanalazimika kwa Jinsia ke, ni nadra sana wanaume kufikia hatua hii. Ukitaka uwe blocked mkopeshe hela mtu asie mwaminifu utakula block tu
Kuna jamaa kaniblock huwa namuangalia namuona kam punga hiviBlock wanatumia wanawake.
Usikute ni yule boya anaekudanganya anakulavu sahivi!Umenikumbusha kuna kaka mmoja tulikuwa tunafanya nae kazi, nilikuwa simpendi jamani ila sikuwahi kumuonyesha, nikikutana nae nasalimiana nae vizuri ila siendelezi story najitia niko busy. Siku moja alinisaidia jambo kubwa sana najiuliza bila yeye siku ile sijui ingekuwaje. Nikashukuru sikuwahi kumuonyesha chuki au dharau yoyote
Hahaha loh yuko wapi etiUsikute ni yule boya anaekudanganya anakulavu sahivi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mama mmoja aliniblock baada ya kupishana maneno!
Tulipokutana alitetemeka mno almanusra aniamkie shkamoo!
Sent using Jamii Forums mobile app
si piemu kuleHahaha loh yuko wapi eti
Eeh huyo huyosi piemu kule
mwanamke hata ukimwambia ntakutafuta asikupigie hadi we upige lazma litakupigia tu! Halafu anaanza swaga za kukumisi sijui nn!
Sasa mi huwa ananipigia hata saa 6 za usiku nimelala na mwenzie huoni ni hatari kubwa sana hio.Na atapiga sim wakati ambao sio kabisa
Sasa mi huwa ananipigia hata saa 6 za usiku nimelala na mwenzie huoni ni hatari kubwa sana hio.
Cha maana hakuna zaidi ya usumbufu tu.Hatari sana kuna watu inabidi wabadili mpaka line zao kuepuka usumbufu kama huu, mtu anajua fika kuwa unaishi na mwenzio lakini bado simu za mambo yasiyo ya lazima kwa mda fulani haachi.
sio sitaki unipigie simu bali muda flani specific ukishafika usinipigie!Kuliko kuniblock, wewe niambie tu Sitaki Unipigie Simu. Hutokaa uone salamu wala neno langu Maisha yako yote.
Kuna watu huwa hawaelewi hata ukiwaambia. Nadhani ni mataahiraKuliko kuniblock, wewe niambie tu Sitaki Unipigie Simu. Hutokaa uone salamu wala neno langu Maisha yako yote.
Nini maana ya Blocking? Au unampigia simu mtu au unamtext simu anakata, texts hajibu na baadae hakutafuti?sio sitaki unipigie simu bali muda flani specific ukishafika usinipigie!
Inategemea na mtu dada, uniambie sitaki unipigie au nakupigia unakata hunitafuti badae, nije kuendelea kukutafuta!?Kuna watu huwa hawaelewi hata ukiwaambia. Nadhani ni mataahira